Ogopa kuoa mtu mwenye status ya chini. Utachapiwa mpaka na mkata nyasi za kulishia ng'ombe

Ogopa kuoa mtu mwenye status ya chini. Utachapiwa mpaka na mkata nyasi za kulishia ng'ombe

Kabla ya mwanaume kumtongoza mwanamke huwa anaangalia hadhi (social status). Hadhi ya mwanamke inajengwa na vitu vifuatavyo:-elimu, fedha, cheo na uzuri wake.

Hadhi ndiyo Kinga inayochuja na kupunguza wanaume kumtongoza mwanamke.
Mfano mwanamke:-
1. Mwenye shahada (ya kwanza, uzamili ama uzamivu).
2. Anayemiliki duka, gari, nyumba n.k.
3. Meneja, mkurugenzi, DC, mbunge, RC, waziri, rais, n.k.
4. Miss wilaya, miss mkoa, miss Tanzania, n.k.
Hawa wote wanaogopwa (hawasogelewi hovyo) na wanaume wachovu na hohehahe

Iwapo hadhi yake ni ya chini, maana yake kila mwanaume anaweza kuifikia na kumtongoza.

Na kwasabb naye hajiamini, hawezi kuchomoa maombi ya mabaharia. Kwahiyo utakuta watu wanajipigia tu hovyo, kuanzia shamba boy, bodaboda, jirani, muuza genge, rafiki mpk bosi wako.
Pole sana hakuna namna ndio ushapigiwa mke tayari 🤣🤣🤣
 
Kabla ya mwanaume kumtongoza mwanamke huwa anaangalia hadhi (social status). Hadhi ya mwanamke inajengwa na vitu vifuatavyo:-elimu, fedha, cheo na uzuri wake...
Wewe ni mwanamke wa hadhi gani kwanza?
 
kwa sisi ambao kidogo tumekula chumvi tunachojua ni kwamba when a woman turns 35-40+ hivyo vyote ulivyotaja hapo juu huwa havina thamani kwake.

anakuwa amefikia umri wa kuwa rejected na wanaume wenye standard anazotaka yeye. huo ni umri ambao mwanamke anakosa nafasi ya kuwa na machaguo mengi kimahusiano.

hiyo ndio sababu unakuta mdada wa age hiyo yupo
stable kiuchumi lakini ana date na kijana wa bodaboda, dalali au msanii fulani wa bongomuvi/bongofleva
fukara wa kipato,anabebwa na jina lake tu. mdada ndio anaingia gharama kumlea.

kwa sisi wanaume ni opposite,ukifika 40s halafu Mungu kakujalia kipato, ndio wakati wa kujisevia vitoto vya Gen Z. unajichagulia tu, kesho utoke na Maria wa CBE au au Husna wa Udom.🤣
 
Kabla ya mwanaume kumtongoza mwanamke huwa anaangalia hadhi (social status). Hadhi ya mwanamke inajengwa na vitu vifuatavyo:-elimu, fedha, cheo na uzuri wake...
Kutomgozwa kuko pale pale tena hao hutongozwa na wenye hadhi zao au wao huwa ndio watongozaji
 
Wanaume kujadili mambo ya wanawake kila siku ni matumizi mabaya ya muda na nguvu tunazopaswa kuzitumia kufanya gunduzi mbalimbali za kimaendeleo.
Utagundua kwa ubongo upi ? Ili uwe na akili lazima uwe una vinasaba bora na uwe na unakula vyakula bora na unaishi ndani ya jamii bora. Sifa zote hizi huna
 
Mwanamke hana status ata aje awe nani. Status ya mwanamke ipo kichwani kwa mwanaume. Na zinatofautiana mwanaume na mwanaume. Wewe unaweza ukamdekeza mwanamke...
Unaongelea visa/matukio maalumu, mm naongelea uhalisia ktk jamii.
 
Ngoja tukuambie ukweli. Hao unaowasifia wanajiamini mno, hawahitaji mume katika maisha yao, na wakiamua kutembea nje wanatembea tu, kwa sababu they have nothing to lose but their boring man. Kutotembea au kutembea nje kwao ni uamuzi au maadili, sio uoga wa kuachwa na mume...
Big up man. Umepangua hoja kwa kutumia hoja
 
Sema kuchapiwa ni kuchapiwa tu.

Uchapiwe na bodaboda au na mkuu wa wilaya, umechapiwa tu.
 
Ujinga ni kipaji ulichozaliwa nacho au umesomea?
 
Unaongelea visa/matukio maalumu, mm naongelea uhalisia ktk jamii.
Mimi nakuambia ukweli wewe bado haujakuwa. Usiwaheshimu wanwake waziwazi, waache waowenyewe wakufanye uwaheshimu.

Kuna mwanamke enzi za ujana wangu nilikuwa namwogopa kwa kujua ni mlokole. Lakini sikuonyeha kumuheshimu wazi wazi, kumbe chumbani mtoto ni muhuni kuliko malaya wa kwa macheni.

Sasa nikajiuliza huyu mwanamke akikutana na mbwiga akamuoa si itakuwa hatari 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 . Bado haujakua kijana, huyu miss Tanzania aliyenyanganywa taji si kazaa na mume wa mtu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂. Jokate mpaka leo hajaolewa na uzuri wake na kuna kipindi alikuwa anapigwa na mtu wa kawaida wilayani mpaka Jiwe akaingilia kati . Poshy queen na shepu yake amezalishwa na tapeli wa Kinijeria. Tunda alikuwa anabamba leo yupo wapi ? Kuna mwingine enzi zake alikuwa wa moto anaitwa Dotnata nenda ubungo ukamtembelee 😂 😂 😂 😂 😂. Rita Mlaki ameishia wapi ? Hawa wanawake sisi ndio tunawapa kichwa . Wenye hadhi ya juu hawapo ila sisi wanaume ndio tunawapa hadhi.
 
Kabla ya mwanaume kumtongoza mwanamke huwa anaangalia hadhi (social status). Hadhi ya mwanamke inajengwa na vitu vifuatavyo:-elimu, fedha, cheo na uzuri wake...
Siyo kweli. Experience yangu ya mambo haya - wanaume na wanawake - hata wale wanaoonekana wana heshima katika jamii/wenye hadhi fulani, linapokuja suala la ku'fall in love' hakuna aliye mgumu.

Nina mifano ya wanaume na wanawake wasomi/wenye nafasi nzuri wanaotembea wakati mwingine hata na mtu asiye na elimu au hata wafanyakazi wa ndani (kwa wanaume) au watunza bustani (kwa wanawake).
 
Siyo kweli. Experience yangu ya mambo haya - wanaume na wanawake - hata wale wanaoonekana wana heshima katika jamii/wenye hadhi fulani, linapokuja suala la ku'fall in love' hakuna aliye mgumu. Nina mifano ya wanaume na wanawake wasomi/wenye nafasi nzuri wanaotembea wakati mwingine hata na mtu asiye na elimu au hata wafanyakazi wa ndani (kwa wanaume) au watunza bustani (kwa wanawake).
Yes. Wapo, but they are very very few.
 
Kabla ya mwanaume kumtongoza mwanamke huwa anaangalia hadhi (social status). Hadhi ya mwanamke inajengwa na vitu vifuatavyo:-elimu, fedha, cheo na uzuri wake...
Uko vizuri. Kama boss wako anaweza kula na shambaboy,boda boda,boss wako,maana yake ni kwamba hata wewe hujielewi. Na kama boss amedata,ni kwamba unayemuita choka mbaya,ana mvuto.

Lingieni tu hayo majivu yenu(mwili),ni ya mda tu. Uje uwaangalie wale mabibi waliojichubua miaka ya nyuma,enzi zao wakijiona wao ndo wao,leo hii ngozi haitamaniki,na wao hawjielewi.

Na wewe mwenye kibri cha kuanza kuwachagulia watu,wa kutembea nao,subiri. Mawazo,NGONO tuuuuuuuuu.
 
Back
Top Bottom