Ogopa mtu ana maumivu lakini anacheka, mtu atakula pamba muda si mrefu

Mkuu ulikua unamaanisha pamba gani? Au Pamba Jiji? Maana siku zinasogea tu na haipandi ligi kuu.
kuna pamba marehemu anatafuna mdomoni kuzuia harufu, kama brigiji ikichangamsha mdomo kwenye safari yke ya mwisho. Siku zimesogea
 
Walikuita mpiga ramli
Kwani Ndugai na yeye ni mtu Mkubwa? huyu si mtia nia tu wa Ubunge Jimbo la Kongwa. Ndugai hana ukubwa wowote. Huyu alituaibisha hadi wanaume wa Dodoma eti anaomba msamaha kwa kijipiga piga kifua kabisa kwa jambo ambalo halikupaswa kuomba msamaha. sasa ukubwa wake unatoka wapi.
 
Nisaidie link ya clip mkuu
 
Aliyekuwa spika wa Bunge 🤣🤣🤣 ana mafile mengi hiden sana
 
Hivi ndio vizuri. Unafosi kuingilia mambo ya serikali na kufosi kuwa na maamuzi ya mwisho. Utauwa watu halafu zile damu zitakuja kukufuata na kukuandamana.

Lazima apate kichaa. Uongozi sio kitu cha kulazimisha. Mzee ruksa ameishi miaka mingi kwasababu alikuwa mnyenyekevu na hakuwa king'ang'anizi.

Uking'ang'a na kuforce kuongoza watu hayo ndio matokeo yake lazima uwe muuwaji na katili jambo ambalo mwisho wake huwa sio mzuri.

Ukishatoa uhai wa mtu maisha yako yaliyosalia damu yake itakuandama utakuwa kama shetani au jini.
 
Back
Top Bottom