Ogopa mtu ana maumivu lakini anacheka, mtu atakula pamba muda si mrefu

Ogopa mtu ana maumivu lakini anacheka, mtu atakula pamba muda si mrefu

Kuwambia nyie nyumbu kuwa mikeka yake huwa inachanika...maana nyie huwa hamna kumbukumbu.. memory zenu ni 1kb
Mimi Sijawai kua chadema vipi yule mliweza kumwita Gaidi juzi kasimama nyuma ya rais vipi memory ziko Je hapo?
 
Mimi Sijawai kua chadema vipi yule mliweza kumwita Gaidi juzi kasimama nyuma ya rais vipi memory ziko Je hapo?
Kwanza jifunze kiswahili vizuri ili uweze kueleweka...
1.Kua=kuwa
2.Vipi memory ziko Je hapo?=vipi memory zipo sawa sawa hapo?
 
Mtu akisema fulani amekula pamba au ametia pamba kwa viswahili viswahili vya mtaani maana yake amevaa nguo za gharama na zimempendeza mvaaji !
Huenda alimaanisha hivyo 😳 !
 
Tukisema wanadhani tunatania kwa kifupi Najua mambo mengi Mpaka mengine yakiandikwa ni Kama ntawasaidia wahusika kujisanua, kuna mtu mkubwa anakula pamba soon ,
🔜 ogopa mtu anaumia Lakin anacheka


Britanicca
Nyumbu
 
Back
Top Bottom