Ogopa mtu ana maumivu lakini anacheka, mtu atakula pamba muda si mrefu

Ogopa mtu ana maumivu lakini anacheka, mtu atakula pamba muda si mrefu

Tukisema wanadhani tunatania kwa kifupi Najua mambo mengi Mpaka mengine yakiandikwa ni Kama ntawasaidia wahusika kujisanua, kuna mtu mkubwa anakula pamba soon ,
🔜 ogopa mtu anaumia Lakin anacheka


Britanicca
Kwl nyumbu wengi mmechanganyikiwa sijui mpk 2030 mtakuwa mmebaki wangapi.
 
Huna lolote wewe. Toka utudanganye kuwa BASHITE kalishwa sumu sikuamini!!

Unaweka codes nyingi utadhani una taarifa nyeti, wewe ni mzushi fulani tu
Kuna mahala popote bashite alipoulizwa kuhusu sumu alikanusha? Au hukufuatilia alipo rudi hewani?
 
azana ikilia ujuwe jogoo kanyamaza watakimbia baharini walipo kwenda kwa wajomba zao waliofukuzwa
Sasa ona km huyu ni mzima kweli? Ni mazuzu yamevamia JF na ndio JF inawapenda mwisho wa siku huu mtandao utakuwa wa vichaa
 
Sasa ona km huyu ni mzima kweli? Ni mazuzu yamevamia JF na ndio JF inawapenda mwisho wa siku huu mtandao utakuwa wa vichaa
kafikichwe na mafuta ya pddy .Ulitaka tukonyoshee maelezo kama kitendawili uwezi nyambavu
 
Tukisema wanadhani tunatania kwa kifupi Najua mambo mengi Mpaka mengine yakiandikwa ni Kama ntawasaidia wahusika kujisanua, kuna mtu mkubwa anakula pamba soon ,
🔜 ogopa mtu anaumia Lakin anacheka


Britanicca
Maria Sarungi kaandika kuwa Lissu ni Rais tusubiri tuone kwa macho maana ushindi tayari , hii inamaanisha nini na hii post yako inaonekana Kila kitu tayari pia Jana Bibi Mkubwa anaonekana hakuwa vizuri alikuwa na tabasamu la kulazimisha kabisa
 
Back
Top Bottom