ccr
Member
- Jun 11, 2025
- 21
- 7
...azana ikilia ujuwe jogoo kanyamaza watakimbia baharini walipo kwenda kwa wajomba zao waliofukuzwa
...azana ikilia ujuwe jogoo kanyamaza watakimbia baharini walipo kwenda kwa wajomba zao waliofukuzwa
KabisaWanawake wengi wana tabia hii..wanakutolea meno unajua wanacheka kumbe anataka akumeze. Fear woman
anatunga mashairi na kuacha blank kwenye jina. Parapanda likilia tu anajaza jina na kuachia mzigo.Msechu kaenda kununua daftari na pen
Ya nusu mlingoti au kawaida?Tukisema wanadhani tunatania kwa kifupi Najua mambo mengi Mpaka mengine yakiandikwa ni Kama ntawasaidia wahusika kujisanua, kuna mtu mkubwa anakula pamba soon ,
🔜 ogopa mtu anaumia Lakin anacheka
Britanicca
Hatujawai kuwa na mchango wowote duniani zaidi ya wickedness.Kuna namna hatupo sawa 🤔
Wewe muongo ulisema Makonda kafa South Africa na Makonda anadunda mpaka leo acha uzushi wako basi mkuu tunakuheshimu unajua?Tukisema wanadhani tunatania kwa kifupi Najua mambo mengi Mpaka mengine yakiandikwa ni Kama ntawasaidia wahusika kujisanua, kuna mtu mkubwa anakula pamba soon ,
🔜 ogopa mtu anaumia Lakin anacheka
Britanicca
😁😁😁😁Ntwijaubamanyisa ogu omukazi yan
Unatafuta faraja kwa kujiandikia uongo? Ni uzi gani alioandika Makonda amekufa South Africa?Wewe muongo ulisema Makonda kafa South Africa na Makonda anadunda mpaka leo acha uzushi wako basi mkuu tunakuheshimu unajua?
Tafuta JF ni Bahari kubwa yenye kila aina ya taarifa sina haja ya kukutafutiaUnatafuta faraja kwa kujiandikia uongo? Ni uzi gani alioandika Makonda amekufa South Africa?
Huyo ni matako kabisa.Wewe nawe ni nyumbu? Mbona umesoma na ku comment???
Achana nae diaspora mpiga ramli huyuSerikali isichukulie poa kauli hizo, iwe tayari na ijishushe na kukaa meza moja nao ili kuondoa tofauti zao.
Hilo lisipofanyika huenda mgogoro hautaisha
²Nionesha mkeka wake uliotiki..?juzi tu alisema mama alipoenda Comoro ndo basi harudi tena..manyumbu mkajaa kwenye comment ...huyu ni jingakubwa