Ogopa mtu ana maumivu lakini anacheka, mtu atakula pamba muda si mrefu

Mimi ndipo ninapomshangaa mwanadamu...

Hivi inakuwaje anapumbazwa na ufahari wa kidunia unaopita huku mauti ikimkodolea macho kumwita mbele yake...???

Sifa za kijinga toka kwa wajinga zimemfanya naye kuwa mjinga na kwa ujinga huo, anajipeleka kaburini mwenyewe...!!

Pale pua zake zitakapokula pamba, ndipo akili za wapambe "walio hai" zitafunguka na kusema "tungejua", lakini by then ikiwa tayari ni too late...

Itasaidia nini ukipewa mapesa yote, ulimwengu wote na kupoteza roho na nafsi yako...??
 
Tukisema wanadhani tunatania kwa kifupi Najua mambo mengi Mpaka mengine yakiandikwa ni Kama ntawasaidia wahusika kujisanua, kuna mtu mkubwa anakula pamba soon ,
🔜 ogopa mtu anaumia Lakin anacheka

Britanicca
Duh,
Subira
 
Kula pamba - Kufariki.

Dr William wa USA katika Ubora wake.

Sasa huo ubashiri mbona wa kawaida? Unataka kuniambia katika 20% ya wanachama wenu milioni 13 hakuna atakayefariki? Huo muda mrefu ni Upi? Kuwa specific usiweke vitu General.
 
Tukisema wanadhani tunatania kwa kifupi Najua mambo mengi Mpaka mengine yakiandikwa ni Kama ntawasaidia wahusika kujisanua, kuna mtu mkubwa anakula pamba soon ,
🔜 ogopa mtu anaumia Lakin anacheka

Britanicca
Mmenivunja moyo, MPJ aliwezwa kwa sababu MWB alitangulizwa?
Huyu ni kama vile maji marefu?
 
Mimi ndipo ninapomshangaa mwanadamu...

Hivi inakuwaje anapumbazwa na ufahari wa kidunia unaopita huku mauti ikimkodolea macho kumwita mbele yake...???

Sifa za kijinga toka kwa wajinga zimemfanya naye kuwa mjinga na kwa ujinga huo, anajipeleka kaburini mwenyewe...!!

Pale pua zake zitakapokula pamba, ndipo akili za wapambe "walio hai" zitafunguka na kusema "tungejua", lakini by then ikiwa tayari ni too late...

Itasaidia nini ukipewa mapesa yote, ulimwengu wote na kupoteza roho na nafsi yako...??
Kila mtu ataenda kaburini na pia Mungu ndio anaamua ugomvi,mda utasema
 
Tukisema wanadhani tunatania kwa kifupi Najua mambo mengi Mpaka mengine yakiandikwa ni Kama ntawasaidia wahusika kujisanua, kuna mtu mkubwa anakula pamba soon ,
🔜 ogopa mtu anaumia Lakin anacheka

Britanicca
Wewe mkuu saivi hauna jipya aise ni bora ukae kimya tu ulinde heshima yako humu jukwaani....kwasasa umekua kama mtafuta attention tu huna the correct infos ni matango pori tupu.
 
Tukisema wanadhani tunatania kwa kifupi Najua mambo mengi Mpaka mengine yakiandikwa ni Kama ntawasaidia wahusika kujisanua, kuna mtu mkubwa anakula pamba soon ,
🔜 ogopa mtu anaumia Lakin anacheka

Britanicca
Unaneni tu...
 
bora race zingine zinazi stamina kidogo kuhimili ulevi huo kuliko mtu mweusi.
if I had my way, mtu mweusi asiwe kiiingozi katika vitu vyeti.
Madaraka yanayumbisha sana watu weusi.
Tatizo ni tabia ya mtu sababu ya malezi, tamaduni, makuzi na sio rangi ya ngozi yake.
 
Back
Top Bottom