fansida
Senior Member
- Oct 12, 2018
- 129
- 173
KengeNyumbu
KengeNyumbu
Mkuu ulikua unamaanisha pamba gani? Au Pamba Jiji? Maana siku zinasogea tu na haipandi ligi kuu.Tukisema wanadhani tunatania kwa kifupi Najua mambo mengi Mpaka mengine yakiandikwa ni Kama ntawasaidia wahusika kujisanua, kuna mtu mkubwa anakula pamba soon ,
🔜 ogopa mtu anaumia Lakin anacheka
Britanicca
Ukute yeye ndiyo kala pamba britaniccaMkuu ulikua unamaanisha pamba gani? Au Pamba Jiji? Maana siku zinasogea tu na haipandi ligi kuu.
Lungu kafia SA, familia wakataka kumzika eti huko huko, mara serikali nikadai mwili.... Kama haitoshi familia na ikadai kuhamia mazima uhamishoni SA... Wenye nchi yao wakaingia mtaani kuandamana familia ya Lungu irudi kwao...Tukisema wanadhani tunatania kwa kifupi Najua mambo mengi Mpaka mengine yakiandikwa ni Kama ntawasaidia wahusika kujisanua, kuna mtu mkubwa anakula pamba soon ,
🔜 ogopa mtu anaumia Lakin anacheka
Britanicca
Walikuita mpiga ramliTukisema wanadhani tunatania kwa kifupi Najua mambo mengi Mpaka mengine yakiandikwa ni Kama ntawasaidia wahusika kujisanua, kuna mtu mkubwa anakula pamba soon ,
🔜 ogopa mtu anaumia Lakin anacheka
Britanicca
Ndio huyuTukisema wanadhani tunatania kwa kifupi Najua mambo mengi Mpaka mengine yakiandikwa ni Kama ntawasaidia wahusika kujisanua, kuna mtu mkubwa anakula pamba soon ,
🔜 ogopa mtu anaumia Lakin anacheka
Britanicca
Walikuita mpiga ramli
Aah kumbeDr William wa USA.