ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,381
- 4,588
Nani ?Kwa hali ilivyo, 90% October hafiki...
Nani ?Kwa hali ilivyo, 90% October hafiki...
Pipe dreamTukisema wanadhani tunatania kwa kifupi Najua mambo mengi Mpaka mengine yakiandikwa ni Kama ntawasaidia wahusika kujisanua, kuna mtu mkubwa anakula pamba soon ,
🔜 ogopa mtu anaumia Lakin anacheka
Britanicca
Mleta mada keshaua mwingine😂😂😂😂Sielewi kitu kwani bahasha inasemaje?
Yashobeza kwokwo, tema obusinzilyoNtwijaubamanyisa ogu omukazi yan
Nani sasa anaecheka tufungulieni code basi 🥹"Siyo kila kicheko humaanisha furahaaaa, wengine wakichukia hucheka sanaaaaa."
Wewe ni mungu?,tujiandae kupiga kura mwezi october kwa kupiga kura za NDIYO ✔️Kwa hali ilivyo, 90% October hafiki...
Hivi kweli hiyo asili mia kumi uliyo mwachia inamstahil; kwa vigezo ganii?Kwa hali ilivyo, 90% October hafiki...
Usifungue nyuzi zakeTaifa zima litapewa taarifa. Benders nusu mlingoti.
Me ni mojawapo
kama inafanana na Bata,inaogelea kama Bata,inawika kama Bata basiiii..Yamkini hiyo ni Bata.Tatizo ni tabia ya mtu sababu ya malezi, tamaduni, makuzi na sio rangi ya ngozi yake.
Ile ya kabla ya mwezi wa saba iliishia wapi mkuu?Tukisema wanadhani tunatania kwa kifupi Najua mambo mengi Mpaka mengine yakiandikwa ni Kama ntawasaidia wahusika kujisanua, kuna mtu mkubwa anakula pamba soon ,
🔜 ogopa mtu anaumia Lakin anacheka
Britanicca
Uongozi na uteja wa madawa ya kulevya hauna tofauti 🤔
Unafanya nini kwenye uzi wake kama mikeka yake uwa inachanika?Huyu jamaa mikeka yake yote Huwa inachanika...lakini Kwa kuwa manyumbu ndo wengi humu ,wanapenda sana story zake
kula pamba na kuinusa pia.Tukisema wanadhani tunatania kwa kifupi Najua mambo mengi Mpaka mengine yakiandikwa ni Kama ntawasaidia wahusika kujisanua, kuna mtu mkubwa anakula pamba soon ,
🔜 ogopa mtu anaumia Lakin anacheka
Britanicca