Vijana wanafurahisha kijiwe mkuu, vichwa vina mambo mengi watu wanatafuta reliefHuyu jamaa mikeka yake yote Huwa inachanika...lakini Kwa kuwa manyumbu ndo wengi humu ,wanapenda sana story zake
Otujulize mazimaNtwijaubamanyisa ogu omukazi yan
Kuna namna hatupo sawa 🤔bora race zingine zinazi stamina kidogo kuhimili ulevi huo kuliko mtu mweusi.
if I had my way, mtu mweusi asiwe kiiingozi katika vitu vyeti.
Madaraka yanayumbisha sana watu weusi.
Wewe nawe ni nyumbu? Mbona umesoma na ku comment???Huyu jamaa mikeka yake yote Huwa inachanika...lakini Kwa kuwa manyumbu ndo wengi humu ,wanapenda sana story zake
Ikiwemo na wewe uliejibu kwenye Uzi wake...nyumbu pro maxHuyu jamaa mikeka yake yote Huwa inachanika...lakini Kwa kuwa manyumbu ndo wengi humu ,wanapenda sana story zake
Patalatifu pa Patakatifu 😄Ndani ya nyumba kuna nyumba.
Bisho ntongo hajui kununa ukiwa nae kwa public!Tukisema wanadhani tunatania kwa kifupi Najua mambo mengi Mpaka mengine yakiandikwa ni Kama ntawasaidia wahusika kujisanua, kuna mtu mkubwa anakula pamba soon ,
🔜 ogopa mtu anaumia Lakin anacheka
Britanicca
Inamaana kaanza kutunga nyimbo wakati bado anapumua!!?Msechu kaenda kununua daftari na pen
Kichwa chako kimejiuliza kwanin wanatafuta relief..na majibu umepata yapi...tueleze...Vijana wanafurahisha kijiwe mkuu, vichwa vina mambo mengi watu wanatafuta relief
Huna lolote wewe. Toka utudanganye kuwa BASHITE kalishwa sumu sikuamini!!Tukisema wanadhani tunatania kwa kifupi Najua mambo mengi Mpaka mengine yakiandikwa ni Kama ntawasaidia wahusika kujisanua, kuna mtu mkubwa anakula pamba soon ,
🔜 ogopa mtu anaumia Lakin anacheka
Britanicca
Wamemtonya, uwe wa kuhuzunisha sana...Inamaana kaanza kutunga nyimbo wakati bado anapumua!!?
Lakini mbona bashite alikiriHuna lolote wewe. Toka utudanganye kuwa BASHITE kalishwa sumu sikuamini!!
Unaweka codes nyingi utadhani una taarifa nyeti, wewe ni mzushi fulani tu