Ogopa sana mpenzi mwenye mashosti

Pole sana Mwamba!

Mji mgumu huu
 
Mwanaume uwe mkali mkali kidogo jamani, hata me nakua najua kabisa nikifanya kitu flan mme wangu atanimeza mzima mzima.. msituachie sana kuna muda bila command hatuendi, unaongea neno moja tu hurudii, sitaki utoke, sitaki utoke no discussion..
Nimelipenda bure
 
Mungu atusaidie kulinda hiz ndoa .Hapo ndiyo mwanzo zile taarifa kamkatakata mke wake na kumchoma moto.
 
Umeongea vyema sana Mkuu!!
 
Mungu atusaidie kulinda hiz ndoa .Hapo ndiyo mwanzo zile taarifa kamkatakata mke wake na kumchoma moto.
Eeh utaskia kamzika mkewe baada ya kumcharanga na shoka😅
 
Hahahahahah dawa ni kuwatafuna hao ma shem darling
Kuna mmoja aliwahi kujilengesha nikampiga nyama-rungu haswa, akaja kufunguka mambo mengi sana, ikiwemo hata yeye kusimuliwa jinsi navyompiga pipe shostie yake.
 
Kuna mmoja aliwahi kujilengesha nikampiga nyama-rungu haswa, akaja kufunguka mambo mengi sana, ikiwemo hata yeye kusimuliwa jinsi navyompiga pipe shostie yake.
Hahahahah kakuuzia file kabisa😅
 
Wanawake wa sikuhizi hawataki kubanwa banwa kwenye uhusiano! Anatamani awe na uhuru wa kuchopekwa na wahuni ila still awe na title ya mpenzi kwako!😅

Ukimbana bana ataanza kusema hujiamini kabisa😅
Hapana mkuu, siyo hapendwi kubanwa anakutest kama ni boya, ukilegeza utawala, anakupanda kichwani anavyotaka. Kwa hiyo sometime inabidi uwe na msimamo kama JeiPiem (R.I.P)
 
Hahahahah kakuuzia file kabisa😅
Acha kabisa, halafu wanakuwaga wanaoneana wivu lowkey, ile wanavyokuwa wanahadithiana treatment wanazopata kwa wapenzi wao.
Mwanamke asiye na mashostie wa hivyo ndiye anayedumu kwenye relation bila mikwaruzano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…