Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
- Thread starter
- #101
Wanawake wa sikuhizi hawataki kubanwa banwa kwenye uhusiano! Anatamani awe na uhuru wa kuchopekwa na wahuni ila still awe na title ya mpenzi kwako!😅Mwanamke kurudi alfajiri ni kitu ambacho kama mwanaume siwezi kubaliana nacho. Kuna vitu kama hivi nikiona mwanamke anavyo, ni bora akatafute mwanaume atakayekubaliana navyo, maana kwa upande wangu sitaweza kuvumilia.
Kwa upande mwingine pia tuepukane na kudate au kuoa machangudoa. Wanawake decent wapo wengi tu.
Ukimbana bana ataanza kusema hujiamini kabisa😅