Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
- Thread starter
- #121
Yani unakuta janamke ni vivu kutoa sex ila lina wivu halitaki we uchepuke hata kidogo!HAkuna mwanamke mpumbafu duniani kama yule anayemnyima muwewe mbususu....wacha mwanaiwane tupigage diversion tuu hamna namna cha msingi hakikisha huduma zote ndani ya nyumba wanazipata.
Alafu hawa bwana wasitutishe walivyokuwa wagwadu na kutumia hela zao🤣🤣🤣🤣🤣wee chepuka na nakwambia hataondoka hapo nyumbani as long as anapata huduma na umuulizi kuhusu hela yake....atavumilia tuu