Wakisoma kile kitabu wanaona wale ni wenzao kumbe bado wanaonekana nyani.πππShida ya watu wale wengi shule hawajaenda halafu uona waraabu kama ni ndugu zao kumbe ni wafanyabiashara ya watumwa na pembe za ndovu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]Wakisoma kile kitabu wanaona wale ni wenzao kumbe bado wanaonekana nyani.[emoji23][emoji23][emoji23]
Mjomba ni mama,huwezi mtenga mama hata kama ni mchawiaise.huyu.mama
tatizo English au
Bosslady hata wewe ungemuwekea...Mbona hujamwekea chatgpt article 5:4?
Rais amezungukwa na timu kubwa ya maprofesa,wanasheria,wasomi bado tatizo ni lugha?aise.huyu.mama
tatizo English au
Tuwekee hicho kifungu wewe utuletee na majibu yake, au hujui kutumia huo mtandao wewe unajua tu kuimba mapambio ya kuwasifu waarabu.Wacha uongo wewe kifungu cha 5:4 mbona hakipo hapo?
Bibi naona unakaribia kuanza kutembea na mawe mfukoni sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Si ujitokeze basi uyaseme hayo? Maneno mema namna hiyo unayasema huku umejificha nyuma ya pazia?
Hii ni kurusedi, huna haja ya kujificha.
Mawe tu? Nakushangaa! Siyo mabomu?Bibi naona unakaribia kuanza kutembea na mawe mfukoni sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sijuwi kuutumia.Tuwekee hicho kifungu wewe utuletee na majibu yake, au hujui kutumia huo mtandao wewe unajua tu kuimba mapambio ya kuwasifu waarabu.
Mkataba bado hauja sainiwa ila wanao na itakuwa siri ndo maana nasema bora mtu upiganie maisha yako na ya watoto wakoAandamane wakati nasikia mkataba umesainiwa mwaka jana
Na wewe nae, kumbe unasikia tu? Una masikio makubwa basi. Funguwa na ubongo wako na macho yako.Aandamane wakati nasikia mkataba umesainiwa mwaka jana