Ogopa Teknolojia: Nimeweka mkataba wa bandari kwenye Chat-GPT, Imejibu kwamba bandari zitakuwa za DP World Milele!

Ogopa Teknolojia: Nimeweka mkataba wa bandari kwenye Chat-GPT, Imejibu kwamba bandari zitakuwa za DP World Milele!

Shida ya watu wale wengi shule hawajaenda halafu uona waraabu kama ni ndugu zao kumbe ni wafanyabiashara ya watumwa na pembe za ndovu.
Wakisoma kile kitabu wanaona wale ni wenzao kumbe bado wanaonekana nyani.😂😂😂
 
aise.huyu.mama
tatizo English au
Rais amezungukwa na timu kubwa ya maprofesa,wanasheria,wasomi bado tatizo ni lugha?
Mpaka mkataba unapelekwa bungeni unapitishwa tatizo ni lugha ? Wasomi wanatoa njia mbalimbali za kuuvunja mkataba huu bado tatizo lugha

Ukweli ni kwamba hawa watu walioamua kuuza bandari zetu zote walidhamilia wote ni wazanzibar
 
Jahazi imezama Tunaiona Kupitia Ccm Ujanja Wao Ambao Ni Upuuzi Mtupu
 
Jahazi imezama Tunaiona Kupitia Ccm Ujanja Wao Ambao Ni Upuuzi Mtupu
 
Hivi tatizo ni Chama Cha Mapinduzi (CCM) ama ni Wanachama wa CCM?
 
Si ujitokeze basi uyaseme hayo? Maneno mema namna hiyo unayasema huku umejificha nyuma ya pazia?

Hii ni kurusedi, huna haja ya kujificha.
Bibi naona unakaribia kuanza kutembea na mawe mfukoni sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wale jamaa wa swiss port mbona hujafuatilia au ndo umeanza kufuatilia mambo ya serikali baada ya kuja chatGpt?

Miktaba ya KCMC ,Bungando mbona hijafuatilia na serikali inatoa ruzuku milele ?
 
Tuwekee hicho kifungu wewe utuletee na majibu yake, au hujui kutumia huo mtandao wewe unajua tu kuimba mapambio ya kuwasifu waarabu.
Sijuwi kuutumia.

Mbona hujaweka kifungu 5:4 cha mkataba wa Ushirikiano na Maendeleo?

Jana nimeona picha ya makontena yameandikwa DP World bandari ya Dar. Eti wameshahamia waliponunuwa? Maana makontena yanaonesha ya fanicha.

Hawa Waarabu hata fanicha wanatowa kwao? Kweli wanafanya maboresho makubwa sana, yaliyowashinda kina Karamagi kwa miaka 22.
 
Hivi TPA TEHAMA ya DP World inaendaje huko?


Nasikia hiyo mama Samia hata akiwa Dubai anaiona bandari kutokea kwenye simu tu, na data zote za Makontena.

Tena watu wa TEHAMA hapa wananambi itakuwa na uwezo wa kuona mpaka mfanyakazi mmoja mmoja yupo wapi na anafanya nini.

Dah, sasa Waarabu hawa huo si utumwa wanaudisha Tanganyika? Mambo ya kuchunguliana haya mpaka chooni?
 
Aandamane wakati nasikia mkataba umesainiwa mwaka jana
Na wewe nae, kumbe unasikia tu? Una masikio makubwa basi. Funguwa na ubongo wako na macho yako.

Mkataba wa kuuzwa nchi upo tayari. Hivi hebu jitazame vizuri hapo ulipo, hujahamishiwa Dubai wewe?

Mkataba umeanzia mwaka 2020 soma vizuri kwenye Utangulizi wa makubaliano utayakuta hayo ya mwaka 2020.
 
Kumbe Mbowe alikuwa ndiyo nyuma ya mkataba huu kisirisiri huko Dubai? Jioneeni:

 
Kwani wabongo wanapiga pesa ngapi kuliko hizo atakazo jilipa Mwarabu
Bora wabongo wapige ela yao izunguke nchini
 
Back
Top Bottom