Okrah Magic you let us down today

Okrah Magic you let us down today

Umemcheka mwenzako kuhusu kiingereza chake. Ni grammar gani inaruhusu neno analyses kufuatana na neno events katika hali ya wingi (plural forms). Kubali tu kuwa watu hujifunza kila siku.
Kumbe hiyo ni grammar kwa mtazamo wako.

Pole sana.
 
I see the kolos not taking the draw lightly, please leave Okra alone...
Okra we love you 😍🤣🤣🤣🤣🤣
 
ka Okra ni kabinafsi.....msiporeke Isha na mapema katawa lost.
 
Kumbe hiyo ni grammar kwa mtazamo wako.

Pole sana.
Hujajibu chochote ndugu. Ni kwamba umekosea. Neno analyses halikupaswa kuwa hivyo. Ulipaswa kuandika analyse kwa kuwa linalofuatia (events) liko ktk plural form. Hili nalo utalipinga. Kubali kujifunza ndugu. Nimeamua kukukosoa kwa kuwa umemshambulia vibaya mwenzako.
 
Umemaliza
 
Nafasi mbili za wazi anashindwa kutoa pass wenzake wafunge.....Mchezaji kama huyo ni kumdhibiti mapema la sivyo mnapata hasara sana .
Tumemsamehe kwa leo na ataona comments za watu atajifunza kitu. Uzuri kuna translation atapata ujumbe wake
 
Hujajibu chochote ndugu. Ni kwamba umekosea. Neno analyses halikupaswa kuwa hivyo. Ulipaswa kuandika analyse kwa kuwa linalofuatia (events) liko ktk plural form. Hili nalo utalipinga. Kubali kujifunza ndugu. Nimeamua kukukosoa kwa kuwa umemshambulia vibaya mwen

Hujajibu chochote ndugu. Ni kwamba umekosea. Neno analyses halikupaswa kuwa hivyo. Ulipaswa kuandika analyse kwa kuwa linalofuatia (events) liko ktk plural form. Hili nalo utalipinga. Kubali kujifunza ndugu. Nimeamua kukukosoa kwa kuwa umemshambulia vibaya mwenzako.
A pundit analyses ......

Pundits analyse ......

Kuna tatizo hapo, au bado sijakujibu?
 
Huo mshale wako ume point asilimia za possesion ambazo mlizidiwa

Shots on target inaweza ikapigwa hata na Diarra kwenye mpira wake kwa kuanzisha

Tunaangalia mashambulizi ya hatari yaliyofa ywa kwenye lango la mpinzani

Hizi shots on target ni kazi bure kwasababu butua butua ndio formula yenu siku zote.

Angalia hata lile shuti la Feisal halikuwa na hatari yeyote, Azizi Ki kapiga kama yale matatu lakini hakuna chochote kimesaidia zaidi ya ile freekick yake.
Leo short on target hazina maana? game ile tulitoka 0-0 mkasema tumeshindwa kupata shot on target
 
Mnanang'ang'ana na shot on target si mngefunga sasa hazikua na maana kwenu na hazikua na madhara kwa mpinzani. Andika vzr sio lede ni rede. Halafu nani kakwambia sijui hebu soma vzr nilichoandika.
Unaweza kufunga bila shot on target?
 
A pundit analyses ......

Pundits analyse ......

Kuna tatizo hapo, bado sijakujibu
A pundit analyses ......

Pundits analyse ......

Kuna tatizo hapo, au bado sijakujibu?

A pundit analyses ......

Pundits analyse ......

Kuna tatizo hapo, au bado sijakujibu?
Aisee mbona mgumu hivyo? Nimesema analyses haliwezi kufuatana na events. Sirudii tena kukuelimisha, baki na unachokiamini. Ila acha kuwashambulia wenzako ati wanakosea kuandika kiingereza fasaha. Waelimishe kwa upendo huku ukiwahimiza kukitumia zaidi. Kwaheri.
 
Leo short on target hazina maana? game ile tulitoka 0-0 mkasema tumeshindwa kupata shot on target
Shot on target mlizozifanya ni butua butua tu, hamkuwa na mikakati na ni mwendelezo ule ule mlioufanya kwa Zalan na Al Hilal
 
Back
Top Bottom