Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Kwahyo basi ile 53% ichukueni sie tupeni hiyo 47%take time uka angalie tena hio mechi labda ulikua na wenge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahyo basi ile 53% ichukueni sie tupeni hiyo 47%take time uka angalie tena hio mechi labda ulikua na wenge
Kumbe hiyo ni grammar kwa mtazamo wako.Umemcheka mwenzako kuhusu kiingereza chake. Ni grammar gani inaruhusu neno analyses kufuatana na neno events katika hali ya wingi (plural forms). Kubali tu kuwa watu hujifunza kila siku.
Kweli yani tutalostianaka Okra ni kabinafsi.....msiporeke Isha na mapema katawa lost.
Hujajibu chochote ndugu. Ni kwamba umekosea. Neno analyses halikupaswa kuwa hivyo. Ulipaswa kuandika analyse kwa kuwa linalofuatia (events) liko ktk plural form. Hili nalo utalipinga. Kubali kujifunza ndugu. Nimeamua kukukosoa kwa kuwa umemshambulia vibaya mwenzako.Kumbe hiyo ni grammar kwa mtazamo wako.
Pole sana.
UmemalizaHujajibu chochote ndugu. Ni kwamba umekosea. Neno analyses halikupaswa kuwa hivyo. Ulipaswa kuandika analyse kwa kuwa linalofuatia (events) liko ktk plural form. Hili nalo utalipinga. Kubali kujifunza ndugu. Nimeamua kukukosoa kwa kuwa umemshambulia vibaya mwenzako.
Nafasi mbili za wazi anashindwa kutoa pass wenzake wafunge.....Mchezaji kama huyo ni kumdhibiti mapema la sivyo mnapata hasara sana .Kweli yani tutalostiana
Tumemsamehe kwa leo na ataona comments za watu atajifunza kitu. Uzuri kuna translation atapata ujumbe wakeNafasi mbili za wazi anashindwa kutoa pass wenzake wafunge.....Mchezaji kama huyo ni kumdhibiti mapema la sivyo mnapata hasara sana .
Ndiyo maana Dejan alimlalamikia. Ni mbinafsi sana. Kapoteza mipira mingi sana bila sababu.Nafasi mbili za wazi anashindwa kutoa pass wenzake wafunge.....Mchezaji kama huyo ni kumdhibiti mapema la sivyo mnapata hasara sana .
Hujajibu chochote ndugu. Ni kwamba umekosea. Neno analyses halikupaswa kuwa hivyo. Ulipaswa kuandika analyse kwa kuwa linalofuatia (events) liko ktk plural form. Hili nalo utalipinga. Kubali kujifunza ndugu. Nimeamua kukukosoa kwa kuwa umemshambulia vibaya mwen
A pundit analyses ......Hujajibu chochote ndugu. Ni kwamba umekosea. Neno analyses halikupaswa kuwa hivyo. Ulipaswa kuandika analyse kwa kuwa linalofuatia (events) liko ktk plural form. Hili nalo utalipinga. Kubali kujifunza ndugu. Nimeamua kukukosoa kwa kuwa umemshambulia vibaya mwenzako.
Leo short on target hazina maana? game ile tulitoka 0-0 mkasema tumeshindwa kupata shot on targetHuo mshale wako ume point asilimia za possesion ambazo mlizidiwa
Shots on target inaweza ikapigwa hata na Diarra kwenye mpira wake kwa kuanzisha
Tunaangalia mashambulizi ya hatari yaliyofa ywa kwenye lango la mpinzani
Hizi shots on target ni kazi bure kwasababu butua butua ndio formula yenu siku zote.
Angalia hata lile shuti la Feisal halikuwa na hatari yeyote, Azizi Ki kapiga kama yale matatu lakini hakuna chochote kimesaidia zaidi ya ile freekick yake.
Tuliza masaburi utaelewa.Come again please topolo. I can understand only two words ... Rage and club.
Unaweza kufunga bila shot on target?Mnanang'ang'ana na shot on target si mngefunga sasa hazikua na maana kwenu na hazikua na madhara kwa mpinzani. Andika vzr sio lede ni rede. Halafu nani kakwambia sijui hebu soma vzr nilichoandika.
A pundit analyses ......
Pundits analyse ......
Kuna tatizo hapo, bado sijakujibu
A pundit analyses ......
Pundits analyse ......
Kuna tatizo hapo, au bado sijakujibu?
Aisee mbona mgumu hivyo? Nimesema analyses haliwezi kufuatana na events. Sirudii tena kukuelimisha, baki na unachokiamini. Ila acha kuwashambulia wenzako ati wanakosea kuandika kiingereza fasaha. Waelimishe kwa upendo huku ukiwahimiza kukitumia zaidi. Kwaheri.A pundit analyses ......
Pundits analyse ......
Kuna tatizo hapo, au bado sijakujibu?
Shot on target mlizozifanya ni butua butua tu, hamkuwa na mikakati na ni mwendelezo ule ule mlioufanya kwa Zalan na Al HilalLeo short on target hazina maana? game ile tulitoka 0-0 mkasema tumeshindwa kupata shot on target
Siyo mwendelezo mlioufanya MAKOLO kwa Galaxy kwa au Keizer Chiefs [emoji848][emoji16]Shot on target mlizozifanya ni butua butua tu, hamkuwa na mikakati na ni mwendelezo ule ule mlioufanya kwa Zalan na Al Hilal
Mpinzani akijifunga inahesabika wewe ndio umefunga na alama 3 unapewaUnaweza kufunga bila shot on target?