Oktoba 28 ni mashindano kati ya Reality vs Ahadi Hewa? Je, Watanzania watachagua nini kati ya visible, tangible Deliverables vs The Empty Promises?

Hakuna cha maana kilichofanyika zaidi ya sanaa na maigizo
 
Kwako huyo Pascal hata akija kujisaidia hadharani Kariakoo utakuja humu kusema, Pascal hawezi kunya mavi ukiangalia vizuri utaelewa.
Pasco ametumia uhuru wake kuweka hoja hapa! Sasa kwa akili zenu hizi za kutaka kila mtu anaekuja hapa aje na hoja za kumponda Magufuli na kumsifia Lisu ndio maana mnamuita ana njaa!

Ndio maana nasema mkitoka nje ya hilo box lenu la chadema mtamuelewa pasco
 
Paskali usipoteuliwa baraza lijalo (kama mtashinda [emoji23][emoji23]), jitathmini sana. Yale maswali yako kwenye press conference ya kwanza ya JPM japo yalikuwa ya msingi na ulijipambanua kutofautiana na makanjanja wengine, yalikutia doa. Na unajua fika kuwa blaza ni mtu wa visasi, so play smart this time. Uwe unamtumia mtumia maua maua kwenye WhatsApp awe anakukumbuka kumbuka.

Nashindwa kukuelewa unapozungumzia empty promises. Kwamba TAL akishinda hatatekeleza ahadi zake au? Au unamaanisha alitakiwa awe amefanya nini kwanza. Ina maana una mashaka na uwezo wa TAL au ni ile tu subjectivity kwasababu sasa hivi wewe ni kada lazima upige debe. Kwasababu wewe kama mwanahabari na chombo chako hampo huru, hiyo hali unaionaje?

Ukitaka tena credibility yako irudi kwa sasa, itisha mjadala/mdahalo kwa wagombea wote ili tuwasikie watatufanyia nini tukiwapa ridhaa.
 
Paskal kwanza hadi sekunde hii wewe huna hadhi ya kuwa nwanahabari. Ni kada wewe. Pili nadhani ungejikita kudai uwanja tambarare kwanza ndipo uingie kwenye hayo matanjibo yako. Zaidi ya hapo unatufokea tu
Abebe huu ushauri.
 

Ccm huwa haishindi, ila ikitangazwa kushinda kwa 85% itakuwa kama imeshindwa. Kama NEC tayari wana idadi ya wapiga kura wa kubumba, unatarajia wataingaze ccm chini ya 95%? Uliwahi kuona wapi idadi ya wananchi kwenye nchi yoyote watu wazima yaani 18 yrs+, kuwa sawa na walio chini yake? Watanzania tuko 59m+, nusu yake ni 29m+, ambao kwa mujibu wa tume isiyo huru ya uchaguzi, ndio idadi ya wapiga kura wa sasa. Inawezekana vipi nusu yote ya watanzania kuwa wamejiandikisha kupiga kura? Tulishaamka zamani. Kawaambieni tume ya uchaguzi waweke hiyo idadi yao ya kupika kwenye tovuti yao, lakini tunajua wana matokeo ya kupika tayari.
 
Sahihisho namba 1. JPM hajajenga Barabara hata moja, ila Serikali ya Wananchi inayoongozwa na JPM ndiyo imejenga!
Sahihisho namba 2: Rais Obama alishinda kura za Wamarekani kwa ahadi,na akaboresha mara dufu uchumi ulioharibiwa na aliyekuwa nacho cha kuonyesha. Huo ni mfano tosha kwa nini siyo lazima kuchagua aliyenacho.
Mr. Mayala, unakwama wapi?
 
Zile kauli zako za CCM kutawala milele kumbe zilikuwa za ukada na si kutoka kwa free thinker!!

Hizi mada uwaachie free thinkers wewe kaa tu upande wa akina Barbarosa na jingalao ili ujitendee haki!
 
Paschal alinyimwa vibali vingi sana baada ya kumuuliza swali bwana mkubwa pale Ikulu 2016, walimbana haswa so hii ni ahadi aliyoitoa bungeni kwa kamati ya Ndugai kumsifia baba Makonda, ndiyo maana sasahivi ameanza kupewa vibali vya kuripoti matukio kama mwanzo.
 
Sisi hatumkatazi kuweka mawazo yake hapa

Tunachokataa ni kutulazimisha wanaJF tuone anachosema yuko Neutral, mtabiri, msema kweli, whatever you name it

Wakati ni kada la chama cha mbogamboga lililoko mawindoni Kwasababu ya njaaa.
 


Watanzania tumefikia milioni 59? Hizo takwimu umezitoa wapi?
 
Napenda kuuliza wakati Magufuli anagombea 2015 alikuwa na nini cha kuonyesha?.
Ingawa ulichoandika hakina maana ila kwa hapa nikuelewa vizuri.
 
KWA ASILI YA MPINZANI WA TANZANIA, HAPA ATAKUJA KUPOPOMEA TU NA WALA SI KUSOMA NA KUELEWA ULICHOKICHAMBUA (ANA MENTALITY YA KUPINGA KILA KITU, AND WE GET USED TO THEM). KAMA MGOMBEA ANADIRIKI KUFANANISHA BWAWA LA MWL. NYERERE NA MTERA, KUNA KAZI PALE? UTASAMAJE TANZANIA KUNA KORONA WATU WANAKUFA OVYO NA KUZIKWA USIKU NA HALI SISI WANANCHI TUNAJUA HALI HALISI VYO? HAKUNA CHA SOCIAL DISTANCING NA HALI WEWE UNAYESEMA HAUTEKELEZI UNACHOKISEMA? THEY REJECT EACH AND EVERYTHING, AND I DARE TO CALL THEM UNOBJECTIVE POLITICIANS. NA KAMA WAKIENDA NA NAMNA HII YA KAMPENI, KUFIKISHA HATA 10% YA KURA, ITAKUWA KAZI MNO.
 
Hizo elimu bure hazijaanza leo, zilikuwepo kipindi cha 1974 na nyakati za EFA

Miundombinu ilianza kujengwa toka ukoloni, by the way, anajenga kwa kodi zetu 'not his solely funds'
 
Ukumbuke hata huyo Magufuli nae wakati anaanza hakuwa na chochote cha kuwaonesha wananchi, miaka mitano ukijumlisha na kodi za wananchi ndio vimempa hicho kiburi unachoona wewe ni kitu kikubwa sana, kwangu hilo ni jukumu lake provided alijitoa kuwatumikia watanzania kwa kutumia kodi zao.

Pasko umeshapoteza ile sifa ya mwanzo uliyojitambulisha nayo "hauna chama" sasa hivi wewe hauna tofauti na kina bia yetu na wenzake.
 

Hata ww wakati unaanza uandishi hakuwa na kitu cha kuonesha Ila Watu walikupa nafasi
 
Watanzania tumefikia milioni 59? Hizo takwimu umezitoa wapi?

Ww utakuwa ni mzee ndio maana uko so outdated. Ingia google uone taarifa latest za idadi ya watu Tanzania. Hii ndio sababu unaleta tathmini za kizee kwenye uchaguzi huu. Huo mchanganuo nimekupa sijakosea, na nina uhakika moja kwa moja kuwa tayari Magufuli ameiagiza tume imtangaze kwa 90%+ kutoka hiyo figure aliyoiagiza tume ipike. Kibaya zaidi tume nayo imetii maagizo yake, bila kutumia akili na bila kujua kizazi hiki kimebadilika na kinajua ukweli.
 
Kama milioni50 kila Kijiji,Tanzania ya viwanda na Tanzania kuwa Kama ulaya baada ya awamu iliyopita kumpa maisha Bora kila mtanzania
 

Kwenye uzi wako nimeelewa zaidi hapo uliposema Gwajima ana sifa za ushoga. Huko kwingine ni repetition ya vibwagizo vya kada yoyote wa ccm, awe amesoma au hajasoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…