Oktoba 28 ni mashindano kati ya Reality vs Ahadi Hewa? Je, Watanzania watachagua nini kati ya visible, tangible Deliverables vs The Empty Promises?


Mkuu Pascal, sijajua lengo la thread yako. Lakini any intelligent man would know that all the "visible tangible deliverables" started with "empty promises", in line with your context.

So what are you trying to say here, that promises must be "visible tangible deliverables"? That is impossible.

A promise can never be tangible or visible, because a promise is an assurance for the fulfillment of a future undertaking. Utakuwa mwendawazimu mtu anapokuambia mwezi ujao nitakununulia shati halafu unasema liko wapi mbona silioni shati unaloniahidi kwa hiyo ahadi yako ni hewa!

As such, it is wrong for you to call a promise empty bila kumpa nafasi ya anaefanya promise muda wa kuitekeleza promise yake. How for example, uta-qualify promise ya mtu kujenga barabara kuwa ni empty kabla hujampa nafasi ya kutekeleza hiyo promise katika mazingira anayokuambia umpe ili atekeleze ahadi anayotoa? That would be lack of common sense kum-judge mtu kuwa anatoa "empty promise". You can only judge a promise kuwa "empty" baada ya mtu alieitoa kuwa na nafasi na uwezo wa kuitekeleza, na asiitekeleze.

Na it is a normal thing for a promise to be forward looking, because one can only promise something that they will do in future.

Na pia it is wrong kumlinganisha mtu amabe alisha deliver na yule anaeahidi, kwa sababu hawatakuwa katika level playing field. Anae promise anachosema ni kwamba, ukinipa madaraka na access to governments funds kama ulivyompa huyu, mimi nita deliver haya ninayokuahidi. Sasa wewe utasemaje ahadi zako ni empty kulingana na huyu ambaye amesha deliver? Kwani huyo anaeahidi alifanya ahadi zake wakati mmoja na huyo alie deliver na wote walikuwa na power na access ya funds sawa? So how do you reckon hizi nyingine kuwa empty promises ikiwa anaezitoa hajapewa nafasi sawa ya kuzitekeleza?

I agree kuna ampty promises kama mtu kusema ukinichagua I will make pigs fly. Then you can call that an empty promise, lakini vinginevyo you have to be very limited in thinking capacity kumwambia mtu anafanya empty promise kabla hujamuwezesha na kumpa muda wa kutekeleza anachoahidi ikiwa utamuwezesha, ikiwa ahadi anayotoa inatekelezeka na sio ahadi ya kufanya nguruwe waruke..

Be careful with these philosophies, you might end up tarnishing your reputation.
 
Piga kampeni mzee japo na mimi nakupigia kampeni hebu fikiria neema ya Akili aliyokutunuku mola wako kisha itazame Tanzania, kisha rejesha kumbukumbu juu ya ujasiri na uzalendo bali kipawa alichokuwanacho mzee mayalla (rip). Hoja ya yangu ni kwamba Mh jpm ni kweli hakuna wakumzidi katika hawa wapinzani si member, Lisu, lipumba n. K bali watamzidi tu kwenye kufanya siasa.
 
Kanda ya ziwa wanaweza kuwa na mwanawao Mhutu?
 

Kwangu mimi hizi ni kejeli na matusi, watakapo kujibu naomba uvumilie.
 
Ingekuwa ni Tangibles basis ukoloni ungeendelea mpaka Leo.Wakati Nyerere anapewa Uhuru alionyesha nn??? Haya yaliyofanyika no kazi ya serikali sio juhudi binafsi.Tangible ziko positive na negative waachieni wananchi waamue ipi kwao ina faida
 
Safi, naona umejibu vizuri sana kwamba serikali inayoongozwa na JPM imejenga barabara, kwa hiyo JPM akiwa Kama dereva ameongoza vizuri serikali hadi barabara zikajengwa, kwa hiyo JPM hastahili pongezi kwa hilo?
 
Wakati nyerere anadai uhuru hakuwa na sera za maendeleo maana wakoloni walifanya jiulze alitoa wap sera? N kwenye mapungufu
 
Hapo kwenye ushauri waufanyie kazi, sio kupinga kila kitu bila kusema the way forward and how to implement it, mm sera za ACT nimezielewa kimtindo, coz they say, we will do this and that, kisha wanaonyesha namna gani watafanya.
Ndugu mpinzani wako anapokuonyesha mapungufu yako alafu akakuonyesha namna na njia ya kuyarekebisha huyo anakua sio mshindani wako tena bali mshauri wako.
 
UPUUZI MTUPU! from another ZERO BRAIN.

 
Pascal Mayalla kumbuka kule Africa ya Kusini chama cha National Part na serikali yao walijenga kuliko ambavyo Magufuli na ccm yao wamefanya lakini hiyo haikuzuia wananchi kuikataa serikali na viongozi wao kina Botha kwa sababu ya yale waliyowatendea raia wa nchi hiyo
 
Mgombea mmoja ni kweli atakuwa na vitu vya kuonesha. Kwa mfano:
1) Jinsi alivyoteka watu
2) Jinsi alivyoua watu na miili kutupwa fukweni
3) Jinsi alivyowapoteza Ben na Azory
4) Jinsi alivyomshambulia Tundu Lisu zaidi ya anavyoshambuliwa simba mla watu
5) Jinsi alivyoangusha ukuaji wa uwekezaji toka 28% mpaka 4%
6) Jinsi alivyofanikiwa kudondosha ukuaji wa sekta ya utalii toka 15% mpaka 3.6%
7) Jinsi alivyoshusha thamani ya mauzo ya nje ya mazao ya kilimo kwa 50%
8) Jinsi alivyofanikiwa kuanzisha sheria zinazogandamiza uhuru wa watu na vyombo vya habari
9) Jinsi alivyofanikiwa kuwakimbiza wawekezaji wakubwa wa ndani na nje
10) Jinsi alivyozuia haki ya vyama vya siasa kufanya siasa wakati wote, kinyume na matakwa ya katiba
11) Jinsi alivyofanikiwa kujijengea uwanja mkubwa wa ndege kijijini kwake japo hakuna ndege za kutua
12) Jinsi alivyofanikiwa kuteua kwenye nafasi nyingi za umma kwa watu wa kanda moja

Huyu hana hata sababu hata ya kufanya kampeni maana wananchi wanajua makubwa aliyowafanyia wananchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchaguzi wa Raisi:

..CCM wao ni "Hapa Kazi Tu. "

..CDM ni " Kazi na Maendeleo, " pamoja na " Uhuru na Kazi ."

Jimbo la Kawe:

..Halima is an underdog candidate with the right qualifications and experience.

..Gwajima ni mgombea mwenye mapesa lakini hana uzoefu au haiba ya kuwa mbunge.
 
Hapo kwenye ushauri waufanyie kazi, sio kupinga kila kitu bila kusema the way forward and how to implement it, mm sera za ACT nimezielewa kimtindo, coz they say, we will do this and that, kisha wanaonyesha namna gani watafanya.
Lissu sera yake eti nimepigwa risasi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kila alikopita ananadi vidonda vyake tu. Upuuzi wa hali ya juu..
 
Thread closed.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…