Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
Mkuu Pascal, sijajua lengo la thread yako. Lakini any intelligent man would know that all the "visible tangible deliverables" started with "empty promises", in line with your context.
So what are you trying to say here, that promises must be "visible tangible deliverables"? That is impossible.
A promise can never be tangible or visible, because a promise is an assurance for the fulfillment of a future undertaking. Utakuwa mwendawazimu mtu anapokuambia mwezi ujao nitakununulia shati halafu unasema liko wapi mbona silioni shati unaloniahidi kwa hiyo ahadi yako ni hewa!
As such, it is wrong for you to call a promise empty bila kumpa nafasi ya anaefanya promise muda wa kuitekeleza promise yake. How for example, uta-qualify promise ya mtu kujenga barabara kuwa ni empty kabla hujampa nafasi ya kutekeleza hiyo promise katika mazingira anayokuambia umpe ili atekeleze ahadi anayotoa? That would be lack of common sense kum-judge mtu kuwa anatoa "empty promise". You can only judge a promise kuwa "empty" baada ya mtu alieitoa kuwa na nafasi na uwezo wa kuitekeleza, na asiitekeleze.
Na it is a normal thing for a promise to be forward looking, because one can only promise something that they will do in future.
Na pia it is wrong kumlinganisha mtu amabe alisha deliver na yule anaeahidi, kwa sababu hawatakuwa katika level playing field. Anae promise anachosema ni kwamba, ukinipa madaraka na access to governments funds kama ulivyompa huyu, mimi nita deliver haya ninayokuahidi. Sasa wewe utasemaje ahadi zako ni empty kulingana na huyu ambaye amesha deliver? Kwani huyo anaeahidi alifanya ahadi zake wakati mmoja na huyo alie deliver na wote walikuwa na power na access ya funds sawa? So how do you reckon hizi nyingine kuwa empty promises ikiwa anaezitoa hajapewa nafasi sawa ya kuzitekeleza?
I agree kuna ampty promises kama mtu kusema ukinichagua I will make pigs fly. Then you can call that an empty promise, lakini vinginevyo you have to be very limited in thinking capacity kumwambia mtu anafanya empty promise kabla hujamuwezesha na kumpa muda wa kutekeleza anachoahidi ikiwa utamuwezesha, ikiwa ahadi anayotoa inatekelezeka na sio ahadi ya kufanya nguruwe waruke..
Be careful with these philosophies, you might end up tarnishing your reputation.