PostGE2025 Oktoba 29: Siku ambayo Tanzania iliona kivuli cha Rwanda — lakini bado hatutaki kujifunza”

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Oct29 mlifundishwa jinsi usalama wa taifa unavyotakiwa kufanya kazi na siyo kuwafanyia kazi CCM.Endeleeni na upuuzi wenu muone kinachofuata.
 
Ina maana hivyo vifaaa vya ujenzi vilikuwa vinaagizwa kutoka nje??

Tax exemptions ninayoijua ni ya pesa kutoka Ulaya mabzo zilikuwa zinaletwa kupitia NGO iliyoundwa kati ya LUTHERAN na TEC kwa makubaliano kama yaliyoko hapo juu, ya sera ya afya.
kisheria fedha za ruzuku na misamaha ya kodi inayotolewa kwa mashirika ya dini inahitaji na inafanyiwa ukaguzi mkali. Sheria haitoi mwanya wa fedha au nafuu ya kodi ya serikali kutumika bila uangalizi, kwani hizi zinatafsiriwa kama mali ya umma (Public Resources).
Hapa kuna uchambuzi wa kisheria kuhusu jinsi ukaguzi huo unavyofanyika:
1. Ukaguzi wa Ruzuku (Subsidies/Grants)
Taasisi nyingi za dini zinaingia mikataba ya kutoa huduma na serikali (Service Level Agreements - SLA), hususan kwenye sekta za afya na elimu.
Mamlaka ya CAG: Ikiwa serikali inapeleka ruzuku (mfano: fedha za mishahara ya madaktari au vifaa tiba) kwenye hospitali ya teule ya dini (DDH), fedha hizo zinakuwa fedha za umma. CAG ana mamlaka ya kisheria chini ya Sheria ya Ukaguzi wa Umma kukagua matumizi ya fedha hizo ndani ya taasisi hiyo.
Ukaguzi wa Ndani wa Wizara: Wizara husika (kama Wizara ya Afya au TAMISEMI) hufanya ukaguzi wa mara kwa mara kuhakikisha ruzuku imetumika kulingana na mkataba.
Masharti ya Mkataba: Taasisi inalazimika kuwasilisha ripoti za matumizi (Financial Statements) kabla ya kupewa ruzuku nyingine.
2. Ukaguzi wa Misamaha ya Kodi (Tax Exemptions)
Msamaha wa kodi si "fedha taslimu" mkononi, bali ni mapato ambayo serikali imeyaacha ili kusaidia jamii. Hii inakaguliwa kupitia:
TRA (Post-Clearance Audit): Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ina kitengo maalum cha ukaguzi wa misamaha. Wanaweza kufika kwenye taasisi ya dini na kukagua kama vifaa vilivyosamehewa kodi (mfano: gari la wagonjwa au vitabu) vipo na vinatumika kwa kazi iliyokusudiwa.
Sheria ya Kodi ya Mapato: Taasisi lazima ziwasilishe hesabu zao kwa Kamishna wa TRA kila mwaka. Ikiwa taasisi itashindwa kuthibitisha kuwa shughuli zake ni za kutoa msaada (charitable), TRA inaweza kufuta hadhi hiyo na kuitaka taasisi ilipe kodi zote.
3. Ripoti ya CAG na Uwazi
Kila mwaka, kwenye Ripoti ya CAG, kuna sehemu inayohusu "Misamaha ya Kodi". CAG hukagua kama:
Waziri wa Fedha alifuata sheria kutoa msamaha huo.
Taasisi iliyopewa msamaha inastahili kisheria.
Kuna ubadhirifu wowote ambapo mali iliyosamehewa kodi imetumika kibiashara
 
Pesa za mishahaea hazipelekwi kwenye vituo. Hukipwa moja kwa moja kutoka Hazina kwenda kwenye account za watumishi.

Hapa vituo vinahusikaje na ukaguzi, wakati kwemye madaftari yao ya kihasibu hizo pesa hazikupita??
2. Ukaguzi wa Misamaha ya Kodi (Tax Exemptions)
Msamaha wa kodi si "fedha taslimu" mkononi, bali ni mapato ambayo serikali imeyaacha ili kusaidia jamii. Hii inakaguliwa kupitia:
TRA (Post-Clearance Audit): Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ina kitengo maalum cha ukaguzi wa misamaha. Wanaweza kufika kwenye taasisi ya dini na kukagua kama vifaa vilivyosamehewa kodi (mfano: gari la wagonjwa au vitabu) vipo na vinatumika kwa kazi iliyokusudiwa.
Sheria ya Kodi ya Mapato: Taasisi lazima ziwasilishe hesabu zao kwa Kamishna wa TRA kila mwaka. Ikiwa taasisi itashindwa kuthibitisha kuwa shughuli zake ni za kutoa msaada (charitable), TRA inaweza kufuta hadhi hiyo na kuitaka taasisi ilipe kodi zote.
Kuhusu kodi. Ninavhojua hizi taaisis za dini zinalipa ( https://www.mwananchi.co.tz/mw/haba...a-msamaha-wa-kodi-kwa-taasisi-za-dini-3413026) isipokuwa kwa zile pesa ambazo ni misaada kutoka nje, wanapopewa ndio husamehewa kodi.
3. Ripoti ya CAG na Uwazi
Kila mwaka, kwenye Ripoti ya CAG, kuna sehemu inayohusu "Misamaha ya Kodi". CAG hukagua kama:
Waziri wa Fedha alifuata sheria kutoa msamaha huo.
Taasisi iliyopewa msamaha inastahili kisheria.
Kuna ubadhirifu wowote ambapo mali iliyosamehewa kodi imetumika kibiashara
 
Utaratibu wa "Basket Fund" vs. Misaada ya Kidini​

Kuna utofauti mkubwa wa kiufundi na kisheria kati ya mifumo hii miwili:

  • Basket Fund (Fedha ya Umma): Hizi ni fedha zinazochangwa na wafadhili (kama World Bank, IMF, au nchi za nje) kwa ajili ya sekta za kijamii (Afya, Elimu, Maji). Fedha hizi huingia kwenye Mfuko Mkuu wa Hazina (Consolidated Fund). Matumizi yake lazima yaidhinishwe na Bunge na yakaguliwe na CAG. Ni haramu kisheria kutumia fedha hizi kwa ajili ya kueneza au kusaidia dhehebu lolote.
Basket Fund hutumika kufadhili wajawazito, chanjo, maralia, kupata hduma bure na hizi taaisisi za dini zilikiwa zinafanya hivyo, nadhani ndio maana zilikuwa zinapewa.

Na hizi.pesa hutolewa kulingana na DATA za kituo husika.

Ina maana hizi pesa zinazolalamimiwa ni mishahara ya watumishi wa serikali kwenye taasisi za dini na pesa za Wazungu za BASKET au kuna pesa nyingine???
 
in fact,
training ya kigaidi walioyoitoa AZAKI kwa vijana malofa na wafuata mkumbo Oct,29.2025 ilikua ya kindezi sana aise 🐒
Mmeshaua WATU.

Sote tunajua MMEUA.

Vipi HAMJAPATA amani??
 
Mmeshaua WATU.

Sote tunajua MMEUA.

Vipi HAMJAPATA amani??
Gentleman,
hakuna haja ya kuleta porojo, uongo na uzushi nonsense usio na athari zozote kuelekea mchakato wa maridhiano na katiba mpya nchini 🐒
 
Maridhiano na nani?

Kabla ya katiba mpya, kwanini msijifunze kwanza kuheshimu hiyo iliyopo??
 
Maridhiano na jamii nzima ya kiTanzania iliyotayari kusonga mbele.

Ni hiyari na sio lazima na hakuna masharti katika hilo gentleman.

uwepo wewe au usiwepo yatafanyika tu, niwepo mimi au nisiwepo, wengine watalisongesha kama kawaida kama dawa gentleman 🐒
 
Mimi sioni haja ya hichonkinaitwa maridhiano. Kanyaga twende maana miaka 50 ijayo hata hao walioua na wao watakuwa wameshaoza.

Lumumba wa CONGO, aliuawa miaka ya 1900s, mpaka leo haki yake inatacutwa na Mobutu alishakufa.

Hata haki za waliouawa Oktoba 29 zitapatikana na mafuvu yatakuja kupatikana tu huko yalikofukiwa na kutupwa.
 
ikiwa huoni haja ya kua na maridhiano, kama pembeni tu kwa amani waliotayari wasonge mbele.
Hili ni jambo la hiyari gentleman, right?

nadhani hayo mengine ni porojo tu za kupotezea muda,si ndio?🐒
 
in fact,
training ya kigaidi walioyoitoa AZAKI kwa vijana malofa na wafuata mkumbo Oct,29.2025 ilikua ya kindezi sana aise 🐒
Wakati magaidi wanakuwa trained kwenye misitu yetu ya hapahapa vyombo vya usalama wa nchi vilikuwa likizo? So wamekuja kushtuka magaidi yapo mitaani na mengine yamejifungia majumbani kwao mkawafata kuwamiminia vyuma!!!! Maajabu hayaishi nchi hii.
 
baadhi ya AZAKI walitoa mafunzo ya kigaidi kwa vijana wafuata mkumbo ndani ya vyumba vya ofisi zao kwa siri na kificho sana.

na ndio maana nasema yalikua ni mafunzo ya kindezi sana ambayo kwa kiasi kikubwa yaliwaathiri vijana wenyewe kilofa sana na kupeleka zawadi za huzuni kwa familia zao 🐒
 
Bado ni none sense. Nilivojua mm intelijensia ya nchi inaona popote kumbe ya huko vyumbani hawayajui wala hawawezi kuyadhibiti.

Poor tanzania adui anaweza kufanya lolote nchi kama ndio hivyo. Yaani AZAKI tangu zinaanza kushawishi hao watu, kusajili mpka zinawatrain kuwa magaidi vyombo vya usalama na ulinzi havijui. Then kwenye kushtukizwa tukio ndio mnapiga yote, utasema tuna ulinzi sisi?

No wonder maadui zetu wa nje wanatucheka tuu.
 
magaidi na wafadhili uhalifu pia hutumia intelijensia kupanga na kuratibu njama za uharibifu na maafa, kwa kukwepa kisayansi vyombo vya ulinzi na usalama.

kwani,
pale marekani, Rais Donald Trump alipochapwa risasi ya sikio kwenye kampeni zake, huku akiwa na walinzi zaidi ya 100, na hivi majuzi akanusurika tena kuuawa na gaidi ndani ya ukumbi palipokua pakifanyika dhifa ya kitaifa alipokuwepo, je, intelijensia ya marekani haikuwepo?

Au Osama bin laden kulipua WTC na ubalizi wa marekani Tanzania, hapakua na intelijensia?

Inawzekana uelewa wako ni kiasi kuhusu intelijensia gentleman 🐒
 
Hii mifano yako still ni none sense. Kushambiliwa Kwa trump imethibitishwa na marekani wenyewe kuwa ilikuwa ni mpango wa mtu mmoja wala sio kikundi au chama flani. Hivyo ni vigumu ku-detect mtu ana plan kufanya nini.

Bin Laden yeye na kikundi Cha al caeda mipango yao walikuwa wanaipanga nje ya marekani na hivyo ilikuwa ni vigumu sana ku-detect Lile shambulizi.

Lakini wewe unatetea ishu ya oct 29, yaani AZAKI zipo hapa ndani, zinasajili raia wa hapahapa ndani, wanafundisha watu ugaidi hapa hapa ndani then wanafanya tukio hapahapa ndani, then polisi na usalama wa taifa wanakuja kushtukia tu magaidi yapo mitaani kuelekea ikulu?!?!!

Poor my county.
 
ila kulipuliwa kwa WTC na balozi ya marekani TZ na Kenya ilipangwa na watu wawili right?🤣
 
Back
Top Bottom