PostGE2025 Oktoba 29: Siku ambayo Tanzania iliona kivuli cha Rwanda — lakini bado hatutaki kujifunza”

PostGE2025 Oktoba 29: Siku ambayo Tanzania iliona kivuli cha Rwanda — lakini bado hatutaki kujifunza”

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mbona Uganda wamejiunga na OIC Tanzania shida Iko wapi tusikatae Udini wakati upo hili ndio zimwi kubwa Tanzania kuliko Siasa tusidanganyane.
 
Kwa kweli mifumo ya kisiasa katika nchi yetu ni ya chama kimoja, tumejikuta tu tunaingia kwenye mifumo ya vyama vingi kwa shinikizo la wafadhili, nasi tukatengeneza usanii wa vyama vingi lakini kwa undani ni bado tupo na element za chama kimoja, watu wa vyama vya upinzani ni aidha walikuwa kutoka chama tawala au wanatumika na chama tawala.
Kikubwa tunachotaka ni kuwa keki ya taifa tuile pamoja.
Tukianza kucheza na misamiati na kutafsiri sheria tutajikuta hatufiki kwenye nchi ya ahadi.
Ikiwa umekubali kuwa wewe ni mtanzania basi tuwe na miko ifuatayo ni mepesi sana na kila mtu anaweza kuitekeleza:
Tuache udini
Tuache ukabila
Tuache ukanda
Tupendane
Tuheshimiane
Tusaidiane.
Vurugu za October zilitokana na Udini,Ukanda na Ukabila mwalimu Nyerere alitukemea sana juu ya kubaguana
 
Nafikiri wengi hamjui maana ya Haki.

Haki sio usawa.
Haki ni kile mtu anachostahili kulingana na akili yake, maumbile yake, umri wake, cheo chake, jinsia yake, kimo chake, n.k.

Unapopewa favour Sana ni kwamba unamajukumu na wajibu mkubwa zaidi.

Wengi hamjui HAKI ni nini ingawaje mnaiimba na kuitaka Kila Siku.
Nimekuelewa sanaa hapaa.
 
S

Swali dogo tu
Unafikri ile 2025 jeshi au sehemu ya jeshi linge support wananchi, leo hii mama dulla angekuwa jumba jeupe?
Swali dogo, kwako pia,

Unadhani wananchi Oktoba 29 wangekuwa na silaha wangekimbilia ndani kwenda kujificha kwa usalama wao??
 
Mbona Uganda wamejiunga na OIC Tanzania shida Iko wapi tusikatae Udini wakati upo hili ndio zimwi kubwa Tanzania kuliko Siasa tusidanganyane.
Uganda walinganishwa na IDDI AMIN.

Mu7 hakuona sababu ya kuitoa Uganda, maana kwanza Uganda ni mali yake.
 
Swali dogo, kwako pia,

Unadhani wananchi Oktoba 29 wangekuwa na silaha wangekimbilia ndani kwenda kujificha kwa usalama wao??
Mazingira hayaruhusu wao kuwa na silaha isipokuwa kwa kushirikiana na jeshi.
 
Back
Top Bottom