PostGE2025 Oktoba 29: Siku ambayo Tanzania iliona kivuli cha Rwanda — lakini bado hatutaki kujifunza”

PostGE2025 Oktoba 29: Siku ambayo Tanzania iliona kivuli cha Rwanda — lakini bado hatutaki kujifunza”

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ccm wakubali tu kuwa hiki si kizazi chake. Zama za ushindi wa kishindo kwa ccm zimeshapita na hazitakaa zirudi tena. Hakuna jambo gumu kama kulazimisha kuongoza watu waliokuchoka. Nayaona machafuko makubwa huko mbele iwapo ccm haitakubaliana na ukweli kuwa zama zake zimepita.
Nakujirekebisha katika yote yanayochochea chuki na ukosefu wa usawa na haki.
 
K

Kama waandamanaji watakuja tena na false hopes kwamba jeshi lipo upande wao watapigwa tena kitu kizito zaidi
Kwasasa watu hawawezi kuandamana tena kwa MABANGO na MAJI, wakati.wenzao.wanatumia RUSASI za MOTO.

Itakuwa ni FULL BLOWN WAR yenye SILAHA za KIVITA, hata hama ni za JADI au UFADHILI.
 
Kwasasa watu hawawezi kuandamana tena kwa MABANGO na MAJI, wakati.wenzao.wanatumia RUSASI za MOTO.

Itakuwa ni FULL BLOWN WAR yenye SILAHA za KIVITA, hata hama ni za JADI au UFADHILI.
Sahau kuhusu wao kupata arms.
 
Sahau kuhusu wao kupata arms.
You have no idea namna dunia ya sasa ina operate, miaka ya 1990 kurudi nyuma ningesema yes.

Ila namna logistic zime improve, hata ukitaka leo unapata just illigely, ila si kitu kisichowezekana
 
Hata huko ambako kwasasa kuna vita, uasi na mapigano walikuwa na akili za aina hii hii
Mkuu mazingira ya nchi yako ni ya tofauti, najua utakataa, na siwezi kukuelezea kwa kirefu ila elewa kwamba haiwezekani. Na huko yalikotokea ni baada ya hao waasi kupata support ya walio kwenye mfumo.
 
You have no idea namna dunia ya sasa ina operate, miaka ya 1990 kurudi nyuma ningesema yes.

Ila namna logistic zime improve, hata ukitaka leo unapata just illigely, ila si kitu kisichowezekana
Hata mimi ninayo home ila haimaanishi naweza kuanzisha movement ya kuleta mabadiliko ya mfumo.

Pasipo support ya mfumo sahau kuhusu hayo mabadiliko, kwa taarifa tu washawasha wamejaa kila kona, ukiona umefanikiwa kufanya jambo illegally sio kwamba umewazidi akili ni kwamba wamekuacha ili waje wakubamize vizuri huko mbeleni.
 
Hal
Hata mimi ninayo home ila haimaanishi naweza kuanzisha movement ya kuleta mabadiliko ya mfumo.

Pasipo support ya mfumo sahau kuhusu hayo mabadiliko, kwa taarifa tu washawasha wamejaa kila kona, ukiona umefanikiwa kufanya jambo illegally sio kwamba umewazidi akili ni kwamba wamekuacha ili waje wakubamize vizuri huko mbelen

Hata mimi ninayo home ila haimaanishi naweza kuanzisha movement ya kuleta mabadiliko ya mfumo.

Pasipo support ya mfumo sahau kuhusu hayo mabadiliko, kwa taarifa tu washawasha wamejaa kila kona, ukiona umefanikiwa kufanya jambo illegally sio kwamba umewazidi akili ni kwamba wamekuacha ili waje wakubamize vizuri huko mbeleni.
Nita tofautiana na ww sehem moja tu, washawasha are not that smart eti wa allow illegal wp ziingine halaf wakuache tu. Katika moja ya taasisi ambazo wao nguvu kwao ni SI unit na si logical ni hiyo

Kutokana na how easly they can be manipulated it easier to have one or many

But one thing nakubali lazima kuwe na umoja for such kind of thing else ata uletewe contenna la silaha nothing will be done
 
Mkuu mazingira ya nchi yako ni ya tofauti, najua utakataa, na siwezi kukuelezea kwa kirefu ila elewa kwamba haiwezekani. Na huko yalikotokea ni baada ya hao waasi kupata support ya walio kwenye mfumo.
Mimi niko kwemye mfumo, na ni mjuvi wa geopolitics.

Najua kabisa inawezekana.

Hatujawa tu tested kutoka nje na mtu serious.

Kwanza tayari kuna GAP ndani, wananchi hawako upande wa mfumo.

Huwezi kushinda vita kwa wanajeshi 20,000 ambao wananchi hawako upande wao.

 
Hoja ya MoU kati ya serikali na Kanisa, ni hoja ya kipumbavu na ya uongo miaka yote.

Huwezi kujenga hoja serious kwenye uongo.

Hili suala walishasema pesa wanazopewa kanisa siyo za serikali, ila ni ZA NCHI ZA ULAYA.


Kilichopo ni kuwa SERIKALI inasamehe kodi.kwenye hizo pesa, ili hizo taaisisi za makanisa zitoe huduma kwa watu wote na zifuate mwongozo wa matibabu wa serikali.

Sasa hapo, kuna hoja gani zaidi ya utaahira tu.
Mbona Waislam wanakataliwa kupokea fedha toka nchi za kiarabu OIC?
 
Sijasoma yote, vipi kuna mahali mleta mada amekemea Rushwa, Ufisadi, Utekaji au Mauaji?
 
Tanzania hatutaki vita ya wenyewe kwa wenyewe tumevikataa ila Kuna baadhi ya viongozi wa Dini wanashawishi waumini wao wafanye mambo ya hovyo kisa Rais Muislam haya yaliyotokea Kibiti,Mkuranga,Rufiji,Amboni Tanga na kule Mtwara watu walihamasishana misikitini Magufuli sio Muislam na wakaanza kuua viongozi wa Serikali na chama hata haya yanayotea sio mageni Kuna chuki inapandikizwa kwenye Udini nashukuru Mtoa mada umeiona.
 
Nguvu iliyotumika kuzima uasi wa kidini na kigaidi ndio nguvu hiyohiyo itumike kuzima uasi huu pia. Rais sio lazima apendwe na kila mtu hao akina Kagame,Mseveni wanaishi miaka na miaka kwa nguvu ya Bunduki sio kama wanapendwa.Tanzania tunautaratibu mzuri wa kubadilishana uongozi hatuwezi kuuacha huyo Trump kila siku anakoswa na risasi ila madaraka aachi kwa ufupi tuwe wavumilivu na siasa za maridhiano ndio zinaitajika sio ubabe.
 
Mbona Waislam wanakataliwa kupokea fedha toka nchi za kiarabu OIC?
Wanakataliwaje?

Mimi ninachojua waislamu wanataka NCHI ndio IJIUNGE OIC.

Shida kubwa ya Waislam wanataka masuala ya DINI yao kuwa masuala ya NCHI.

Kila mtu akitaka masuala ya dimi yake kuwa ya nchi, hatutafika.
 
Je, wanaoamini kwamba wanaostahili kutawala nchi hii ni CCM peke yao wapo sahihi ?
Zingatia hoja yako kwamba haki ni kupata unachostahili kupata.
Kwa kweli mifumo ya kisiasa katika nchi yetu ni ya chama kimoja, tumejikuta tu tunaingia kwenye mifumo ya vyama vingi kwa shinikizo la wafadhili, nasi tukatengeneza usanii wa vyama vingi lakini kwa undani ni bado tupo na element za chama kimoja, watu wa vyama vya upinzani ni aidha walikuwa kutoka chama tawala au wanatumika na chama tawala.
Kikubwa tunachotaka ni kuwa keki ya taifa tuile pamoja.
Tukianza kucheza na misamiati na kutafsiri sheria tutajikuta hatufiki kwenye nchi ya ahadi.
Ikiwa umekubali kuwa wewe ni mtanzania basi tuwe na miko ifuatayo ni mepesi sana na kila mtu anaweza kuitekeleza:
Tuache udini
Tuache ukabila
Tuache ukanda
Tupendane
Tuheshimiane
Tusaidiane.
 
S
Mimi niko kwemye mfumo, na ni mjuvi wa geopolitics.

Najua kabisa inawezekana.

Hatujawa tu tested kutoka nje na mtu serious.

Kwanza tayari kuna GAP ndani, wananchi hawako upande wa mfumo.

Huwezi kushinda vita kwa wanajeshi 20,000 ambao wananchi hawako upande wao.

Swali dogo tu
Unafikri ile 2025 jeshi au sehemu ya jeshi linge support wananchi, leo hii mama dulla angekuwa jumba jeupe?
 
Hal



Nita tofautiana na ww sehem moja tu, washawasha are not that smart eti wa allow illegal wp ziingine halaf wakuache tu. Katika moja ya taasisi ambazo wao nguvu kwao ni SI unit na si logical ni hiyo

Kutokana na how easly they can be manipulated it easier to have one or many

But one thing nakubali lazima kuwe na umoja for such kind of thing else ata uletewe contenna la silaha nothing will be done
Asante.
 
Back
Top Bottom