Nakujirekebisha katika yote yanayochochea chuki na ukosefu wa usawa na haki.Ccm wakubali tu kuwa hiki si kizazi chake. Zama za ushindi wa kishindo kwa ccm zimeshapita na hazitakaa zirudi tena. Hakuna jambo gumu kama kulazimisha kuongoza watu waliokuchoka. Nayaona machafuko makubwa huko mbele iwapo ccm haitakubaliana na ukweli kuwa zama zake zimepita.
Yeah. Time will tell
Kwasasa watu hawawezi kuandamana tena kwa MABANGO na MAJI, wakati.wenzao.wanatumia RUSASI za MOTO.K
Kama waandamanaji watakuja tena na false hopes kwamba jeshi lipo upande wao watapigwa tena kitu kizito zaidi
Sahau kuhusu wao kupata arms.Kwasasa watu hawawezi kuandamana tena kwa MABANGO na MAJI, wakati.wenzao.wanatumia RUSASI za MOTO.
Itakuwa ni FULL BLOWN WAR yenye SILAHA za KIVITA, hata hama ni za JADI au UFADHILI.
Hata huko ambako kwasasa kuna vita, uasi na mapigano walikuwa na akili za aina hii hiiSahau kuhusu wao kupata arms.
You have no idea namna dunia ya sasa ina operate, miaka ya 1990 kurudi nyuma ningesema yes.Sahau kuhusu wao kupata arms.
Mkuu mazingira ya nchi yako ni ya tofauti, najua utakataa, na siwezi kukuelezea kwa kirefu ila elewa kwamba haiwezekani. Na huko yalikotokea ni baada ya hao waasi kupata support ya walio kwenye mfumo.Hata huko ambako kwasasa kuna vita, uasi na mapigano walikuwa na akili za aina hii hii
Hata mimi ninayo home ila haimaanishi naweza kuanzisha movement ya kuleta mabadiliko ya mfumo.You have no idea namna dunia ya sasa ina operate, miaka ya 1990 kurudi nyuma ningesema yes.
Ila namna logistic zime improve, hata ukitaka leo unapata just illigely, ila si kitu kisichowezekana
Hata mimi ninayo home ila haimaanishi naweza kuanzisha movement ya kuleta mabadiliko ya mfumo.
Pasipo support ya mfumo sahau kuhusu hayo mabadiliko, kwa taarifa tu washawasha wamejaa kila kona, ukiona umefanikiwa kufanya jambo illegally sio kwamba umewazidi akili ni kwamba wamekuacha ili waje wakubamize vizuri huko mbelen
Nita tofautiana na ww sehem moja tu, washawasha are not that smart eti wa allow illegal wp ziingine halaf wakuache tu. Katika moja ya taasisi ambazo wao nguvu kwao ni SI unit na si logical ni hiyoHata mimi ninayo home ila haimaanishi naweza kuanzisha movement ya kuleta mabadiliko ya mfumo.
Pasipo support ya mfumo sahau kuhusu hayo mabadiliko, kwa taarifa tu washawasha wamejaa kila kona, ukiona umefanikiwa kufanya jambo illegally sio kwamba umewazidi akili ni kwamba wamekuacha ili waje wakubamize vizuri huko mbeleni.
Mimi niko kwemye mfumo, na ni mjuvi wa geopolitics.Mkuu mazingira ya nchi yako ni ya tofauti, najua utakataa, na siwezi kukuelezea kwa kirefu ila elewa kwamba haiwezekani. Na huko yalikotokea ni baada ya hao waasi kupata support ya walio kwenye mfumo.
Mbona Waislam wanakataliwa kupokea fedha toka nchi za kiarabu OIC?Hoja ya MoU kati ya serikali na Kanisa, ni hoja ya kipumbavu na ya uongo miaka yote.
Huwezi kujenga hoja serious kwenye uongo.
Hili suala walishasema pesa wanazopewa kanisa siyo za serikali, ila ni ZA NCHI ZA ULAYA.
Kilichopo ni kuwa SERIKALI inasamehe kodi.kwenye hizo pesa, ili hizo taaisisi za makanisa zitoe huduma kwa watu wote na zifuate mwongozo wa matibabu wa serikali.
Sasa hapo, kuna hoja gani zaidi ya utaahira tu.
Hiyo imani haitakuepo tenaK
Kama waandamanaji watakuja tena na false hopes kwamba jeshi lipo upande wao watapigwa tena kitu kizito zaidi
Wanakataliwaje?Mbona Waislam wanakataliwa kupokea fedha toka nchi za kiarabu OIC?
Kwa kweli mifumo ya kisiasa katika nchi yetu ni ya chama kimoja, tumejikuta tu tunaingia kwenye mifumo ya vyama vingi kwa shinikizo la wafadhili, nasi tukatengeneza usanii wa vyama vingi lakini kwa undani ni bado tupo na element za chama kimoja, watu wa vyama vya upinzani ni aidha walikuwa kutoka chama tawala au wanatumika na chama tawala.Je, wanaoamini kwamba wanaostahili kutawala nchi hii ni CCM peke yao wapo sahihi ?
Zingatia hoja yako kwamba haki ni kupata unachostahili kupata.
Swali dogo tuMimi niko kwemye mfumo, na ni mjuvi wa geopolitics.
Najua kabisa inawezekana.
Hatujawa tu tested kutoka nje na mtu serious.
Kwanza tayari kuna GAP ndani, wananchi hawako upande wa mfumo.
Huwezi kushinda vita kwa wanajeshi 20,000 ambao wananchi hawako upande wao.
Askari wa JWTZ mwenye asili ya Rwanda adaiwa kutoroka Tanzania!
Jeshi limesema litatoa taarifa zaidi kuhusu mwanajeshi huyo anayedaiwa kutoroka na nyaraka muhimu za jeshi!!
Source: Mtanzania Jumapili
======
OFISA wa cheo cha juu katika Jeshi la Wananchi (JWTZ), anayeaminika kuwa na asili ya Rwanda, ametoweka katika mazingira ya kutatanisha, huku akiacha wingu la mashaka kwamba, hatua yake hiyo inaweza ikawa imeambatana na kupotea pia kwa baadhi ya taarifa muhimu za kijeshi.
Taarifa za kutoweka kwa ofisa huyo mwenye cheo cha luteni kanali, zinalihusisha tukio hilo na hatua...
- BRAND
- Replies: 283
- Forum: Jamii Intelligence
Asante.Hal
Nita tofautiana na ww sehem moja tu, washawasha are not that smart eti wa allow illegal wp ziingine halaf wakuache tu. Katika moja ya taasisi ambazo wao nguvu kwao ni SI unit na si logical ni hiyo
Kutokana na how easly they can be manipulated it easier to have one or many
But one thing nakubali lazima kuwe na umoja for such kind of thing else ata uletewe contenna la silaha nothing will be done