PostGE2025 Oktoba 29: Siku ambayo Tanzania iliona kivuli cha Rwanda — lakini bado hatutaki kujifunza”

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mbona Uganda wamejiunga na OIC Tanzania shida Iko wapi tusikatae Udini wakati upo hili ndio zimwi kubwa Tanzania kuliko Siasa tusidanganyane.
 
Vurugu za October zilitokana na Udini,Ukanda na Ukabila mwalimu Nyerere alitukemea sana juu ya kubaguana
 
Nimekuelewa sanaa hapaa.
 
S

Swali dogo tu
Unafikri ile 2025 jeshi au sehemu ya jeshi linge support wananchi, leo hii mama dulla angekuwa jumba jeupe?
Swali dogo, kwako pia,

Unadhani wananchi Oktoba 29 wangekuwa na silaha wangekimbilia ndani kwenda kujificha kwa usalama wao??
 
Mbona Uganda wamejiunga na OIC Tanzania shida Iko wapi tusikatae Udini wakati upo hili ndio zimwi kubwa Tanzania kuliko Siasa tusidanganyane.
Uganda walinganishwa na IDDI AMIN.

Mu7 hakuona sababu ya kuitoa Uganda, maana kwanza Uganda ni mali yake.
 
Swali dogo, kwako pia,

Unadhani wananchi Oktoba 29 wangekuwa na silaha wangekimbilia ndani kwenda kujificha kwa usalama wao??
Mazingira hayaruhusu wao kuwa na silaha isipokuwa kwa kushirikiana na jeshi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…