2Mambo ni faya.. Mahitaji ya nyakati yamefanikiwa kutuundia makundi mawili kinzani
1. Wa kutiki
2. Wa kutoka
Leo ni October mosi.. Kilele kitakuwa October 28.. Siku ambayo itatupa uhalisia wa 29.10.2025
Namna ya kupiga kura
1. Tunatiki
2.Tunatoka
Au
1. β
2.βπΏ
NB: Kura za mitandaoni huamua uhalisia katika ground.. Piga kura yako sasa!

ItafutwaSi ungeweka poll kabisa mkuu! Hii haiko na mvuto
2Mambo ni faya.. Mahitaji ya nyakati yamefanikiwa kutuundia makundi mawili kinzani
1. Wa kutiki
2. Wa kutoka
Leo ni October mosi.. Kilele kitakuwa October 28.. Siku ambayo itatupa uhalisia wa 29.10.2025
Namna ya kupiga kura
1. Tunatiki
2.Tunatoka
Au
1. β
2.βπΏ
NB: Kura za mitandaoni huamua uhalisia katika ground.. Piga kura yako sasa!
Hivi unajua tofauti ya kura Lissu vs Mbowe ilikuwa ndogo sana. Yeye aweke wakifuta sawa tu, wamefutq vingi mbona.Itafutwa
Unakumbuka ile poll ya lissu vs mbowe?
For sure ili akisi MATOKEO ya wajumbe.
So hizi poll zina akisi ukweriiii Fulani for sureπ
Yes ndogo sana... Aweke au anaogopa wasio julikanaHivi unajua tofauti ya kura Lissu vs Mbowe ilikuwa ndogo sana. Yeye aweke wakifuta sawa tu, wamefutq vingi mbona.