Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣 Tukumbushane pia kuwa mzize miaka 20Sitaki kuwa mnafki, ntampongeza akitaja umri sahihi
Huyu mbona ni mdogo kwa Mzamiru?Kinda kabisa Emmanuel, Yanga haimuoni?
Anatuchezea SanaEti okwi ni mdogo wangu 😂🤣
Samahani, naomba kuuliza kwa anayefahamu, hivi kwanini wachezaji hua hawazeeki kiumri??? Wao huzeeka sura tu... kuna mahusiano yoyote na mambo ya genetics labda...Njooni tumpongeze na kumtakia heri na fanaka Emanuel Arnold Okwi kwa kutimiza miaka 32 juzi.
Huyu ni mmoja ya wachezaji bora kabisa wa kigeni kuwahi kucheza ligi yetuView attachment 3188574
😆😆😆😆Njooni tumpongeze na kumtakia heri na fanaka Emanuel Arnold Okwi kwa kutimiza miaka 32 juzi.
Huyu ni mmoja ya wachezaji bora kabisa wa kigeni kuwahi kucheza ligi yetuView attachment 3188574
Hapana aisee, 42 midogo. Huyu ni jika moja na kina KigwangalaOkwi ana miaka 42