Okwi atimiza miaka 32, ni mmoja ya wachezaji bora wa kigeni kuwahi kucheza ligi kuu nchini

Njooni tumpongeze na kumtakia heri na fanaka Emanuel Arnold Okwi kwa kutimiza miaka 32 juzi.
Huyu ni mmoja ya wachezaji bora kabisa wa kigeni kuwahi kucheza ligi yetuView attachment 3188574
Samahani, naomba kuuliza kwa anayefahamu, hivi kwanini wachezaji hua hawazeeki kiumri??? Wao huzeeka sura tu... kuna mahusiano yoyote na mambo ya genetics labda...

Maana kama huyu ni babu kabisa ila leo ndio katimiza miaka 32... aseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…