Ole Sabaya akamatwa pamoja na mabaunsa wake. Ahojiwa na Vyombo vya Dola

Kumbe inauma eegh? Hahahaha wacha wavune walichokipanda!
 
Walinzi nao walipewa shavu kulawiti wanaokamatwa pia kula mademu wanaowachukua club.....lao moja hao
 
Mmmmm hiyo mahabusu ungejua acha tu ina AC na makochi....ni chumba tu cha kawaida mimi niliwahi kuhojiwa week nzima kama uko home tu ila sasa ukienda kisutu ukakosa dhamana ndio umeisha
Ulipiga Bei gani??
 
tungekuwa tunasaidiana kutetea haki kila siku tungefika mbali sana....wapo wengi sana zaidi ya miaka 5 wako mahabusu kesi zao zinapigwa danadana lakini hatujawahi kupaza sauti..
 

Wakati yeye anawalaza watu ndani hakuwa anawabambikizia kesi? Nashangaa ilikuwaje mtu mwenye uwezo mdogo kama yule kupata madaraka na kuongoza watu. hakuna kitu kibaya kama dhuluma. Na huwa tunalipa hapa hapa duniani.
 
Nimesikia wamewakamata na mabaunsa wake...Takukuru inawashikilia mabaunsa kwa tuhuma za rushwa za boss wao? Mbona kama kuna siasa zinaendelea.
Mwache apambane na hali yake. Umri mdogo, cheo kidogo, halafu anatenda mambo ya wachawi
 
Niliunganishwa tu kama shahidi .....mchana fresh tu unakaa pale reception unavwatch tv kunabwatu wanahojiwa hata mwezi mzima....aibu wakichukua cm yako duuuuu wana retreave sms zako zoooote miaka 10 wanasoma kila kitu hakuna siri.....aseeee
Hutaki kusema kweli Ila ulipiga mkuu hakuna shahidi anahojiwa akiwa mahabusu Kwa siku kumi.
 
Inaonesha uko ndani
 
Hao mabaunsa ni nyenzo muhm sana ktk ushahidi wowote coz wao ndio walikuwa wanapokea amri toka kwake na kutekeleza matakwa ya boss so ni sahihi kabisa kukamatwa kwao.
Mabaunsa watatumia plea bargain watakubali makosa ili Bosi wao aende na maji
 
Asiyefunzwa na babaye, hufunzwa na ulimwengu. Mwache yupo kwenye mafunzo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…