Ha ha haChalamila mbona mtu poa sana mkuu? Labda ule ucomedy wake tu, ila mengine naona yupo poa, and kipindi cha Magu wateule wote walichizika, si ulimuona Kabudi akinywa zile takataka za Covid from Madagascar?
Kamanda umejiongezaKiini macho tu kutuzuga wananchi....
1) Taarifa ya fedha zilizokwapuliwa BOT mwezi March 2021 i wapi?
2) DG wa TPA kafanywa nini hadi leo maana nasikia huko mtaani anatamba kweli kweli kuwa hakuna mtu wa kumfanya kitu nchi hii
3) Haya, sasa tuna hili changa la moto la Sabaya!
Sema hapahapa Mambo ya huko inbox tumesha pigwa sana!!Pata lain ya uwakala huko ulipo kwa majina yako yaan
Mpesa
Tigopesa
Airtelmoney
Halotel
Malipo baada ya kazi njoo pm
Huyo Chalamila kuna kosa lolote amelifanya hasa la kuvunja sheria kwa kutokuwa kwake “mzima kichwani “?Yule siyo mzima kichwani
Kiini macho tu kutuzuga wananchi....
1) Taarifa ya fedha zilizokwapuliwa BOT mwezi March 2021 i wapi?
2) DG wa TPA kafanywa nini hadi leo maana nasikia huko mtaani anatamba kweli kweli kuwa hakuna mtu wa kumfanya kitu nchi hii
3) Haya, sasa tuna hili changa la moto la Sabaya!
Mkuu ukiwa unaishi karibu na bar unaumwa ama una mtoto utalala kweli? lazima kuwe na utaratibuHuyo Chalamila kuna kosa lolote amelifanya hasa la kuvunja sheria kwa kutokuwa kwake “mzima kichwani “?
Yupo wapi Paschal Mayala? Natamani atupe experience yake ya kuitwa na kamati ya bunge. Aliporudi alibadilika sana. Lakini ukimya wake unatuonesha makala zake alivutwa na u homeboy sana. Labda anatafkari namna ya kurudi
That’s very true.Mkuu ukiwa unaishi karibu na bar unaumwa ama una mtoto utalala kweli? lazima kuwe na utaratibu
Kweli aiseeNaonaga watu wanamuweka Chalamila kwenye kundi moja na kina Sabaya, kwanini? Chalamila naonaga ni kama comedian, sijawahi kuona shida ya Chalamila
Hapana Mkuu, anakuwa anachekesha lkn unakuta kuna point muhimu na nzuri kabisa, shida ni uwasilishwaji.Yule siyo mzima kichwani
Hahahaahahahahahahaha mmh Pasco amefanyaje tena
Yaani Pascal Mayalla naye yupo kwenye kundi la akina Ole Sabaya na Bashite! 🤭 Huu sasa ni uonevu!!
Mwamwindi aliyetembeza mapanga kwa rc...?Na ninasikitika kwamba Said Mwamwindi hajapata mrithi wa calibre yake hadi leo.
Sijui ni kwanini Said uliondoka na ule ujasiri wako? Maana wangekuwepo watu 10 tu wa aina yako pale Hai,na wakaamua kumvaa huyo 'Saa-mbaya' kwa pamoja, angelikuwa ameshakuwa mwenyeji wa Jiwe kule Jehanamu kitambo tu.
Tuta deal nae mtaaniWatende haki, wakileta bla bla watu hawatawaelewa.
Sure,sema mitoto ya sasa hivi mioga Sana.
Mwamwindi hakuwa mtoto lakini wakati anafanya lile tukio😲😲
Sure,sema mitoto ya sasa hivi mioga Sana.
Mwamwindi hakuwa mtoto lakini wakati anafanya lile tukio😲😲