Ole Sabaya akamatwa pamoja na mabaunsa wake. Ahojiwa na Vyombo vya Dola

Pumbavu kabisa siku sita tu nazo siku wao mbona waliwaweka watu miaka 6 ndani bila ushahidi.
Kama kweli yupo ndani akae miaka
 
Aisee! lakini kweli inawezekana kabisa hata zile cctv footage zilikuwa ni za kugushi asee wanamsingizia kabisa huyo jamaa!
 
...hili se.nge naskia lilikua linaenda the don arusha linapora wake za watu Kwa kutumia mabaunsa...Yani kudadeki lingenikuta Mimi..ningewapiga lenyewe na watu wake na kuwapora silaha...lilikutana na wanaume dhaifu.
Ningeyakata kungfu za ukweli ....na kuyapora silaha...wa tz waoga Sana...jitu linaiba hotel live...linapora watu hela..linapora wake za watu..wao wanaliacha Tu....hapana aisee..Mimi hata nikikutana nalo Leo nalichapa ipasavyo...sitojali...ningelikata mbo.ro lake la kimasai kudadeki ..
 
Acha akae ndani,unaharaka gani?,Jambazi kama huyu hawezi kuachiwa kirahisi hivyo
 
We chawa wa Sabaya..Usifundishe watu kufanya kazi.Vipi lile group lenu la whatsap la kumtetea bado lipo hai au mlishaleft?
 
Huyo jamaa kaingia cha kike..
 
Kwa hiyo unasema " irudiwe" hukuwepo
 
Tulia wewe , hata wewe upo mawindoni
 
Wewe utakua ni miongoni mwa wahusika, unaogopa Ole Sabaaya atakutaja jina lako. Well, Well kaa mkao wa kuliwa kitenesi.

Halafu mbona Rugemarila na Singa Singa wazee wazima wamekaa mahabusu huu ni mwaka wa 6 unaenda, na wamevumilia. Yeye Ole Sabaaya kijana mwenye umri wa miaka 33 kukaa ndani siku 6 imekua nongwa.!!! Acheni wazimu.

Hebu mwacheni Kamanda Salum Hamduni afanye kazi zake taratiiibu na kwa weredi mbwa nyie. Uchunguzi hata ukichukua miaka 10, fresh tu, raia tutagharamia kwa kodi zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…