Ole Sabaya amkana mshirika wake katika kesi

Ole Sabaya amkana mshirika wake katika kesi

mjiandae kwa next episode....hapo kwenye kutishiwa kuuwawa hapo, kuna movie inakuja...

Kuna bonge la TKO linakuja, mshika remote anajaribu kuvuta muda tutashangaa wote...
 
Huyu akicheza anafungwa. Haiwezekani mahakamani useme ni siri halafu eti unasema mtu alipangiwa kwako na ofisi ya Mkurugenzi lakini haujui majukumu yake ni yapi. Lengai Lengai umeanza kuchanganyikiwa.
anadai alikua hamjui jina Anna mgwira
 
Wewe labda hujui namna ya kutoa usjahidi yupo very composed na ushahidi wake kashauset na anauhakika wa anachokifanya kipo relevant katika ku disprove allegations against him
your thinking
 
hapo aliposema kuwa kuna baadhi ya majukum yake ni siri mteule yoyote wa rais lazma kuna majukum mazito ya serikali huwa wanapewa ndo maana hata kwenye viapo vyao huwa wanaapa kuwa hawatotoa siri, hizo siri ni zipi? vipi ukizitoa utapatwa na kipi hope msaliti adhabu yake inajulikana
 
Kama ni siri sawa lakini nyapara lazima atazijua tu.
 
kitu ambacho hutoamini ni kwamba huyo jamaa anatoka na hata akifungwa atatoka kwa msamaha wa rais au kwa njia tofauti serikali ni nzito kuliko uijuavyo
Huyo kilaka tu, Magufuli ndio alikuwa anampa jeuri lakini hana lolote huyo anakula mvua za kutosha kabisa.
 
Wewe labda hujui namna ya kutoa usjahidi yupo very composed na ushahidi wake kashauset na anauhakika wa anachokifanya kipo relevant katika ku disprove allegations against him
Acha masihara bwana usijekua ni mmoja wa mawakili wake tu.

Sasa unakua assigned na mtu na hata haujui anakua assigned kwako kama nani ila picha mnapiga wote na mnazunguka wote kila mahali.

Mpaka picha za wakiwa na sare za CCM kabla Ole hajawa DC zipo na mmoja wao alipost instagram.

Kisha unasema humjui? Na wewe wakili unamuencourage kwa kumuambia yupo sahihi?
 
Back
Top Bottom