Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Kuna makosa ambayo Rais anaweza yatolea msamaha armed robbery siyo miongoni mwa hayo makosa.kitu ambacho hutoamini ni kwamba huyo jamaa anatoka na hata akifungwa atatoka kwa msamaha wa rais au kwa njia tofauti serikali ni nzito kuliko uijuavyo
Rais asingetaka hizi drama zote angesurpress ishu kule kule mwanzoni kama ni kweli kuna mpango wa kumtoa kwa njia ya msamaha.