Ole Sabaya apanga kutoroka nchini, huenda akajificha Nairobi nchini Kenya

Tafadhalini sana vyombo vya dola msije mkathubutu kumsaidia Sabaya kutoroka , hatutawaelewa na huenda mkasababisha machafuko
Huyu hawezi kupenya na kukimbia Nchi. Atadhibitiwa vilivyo. Na hata kama itatokea bahati mbaya asaidiwe kutoroka, hakuwezi kutokea "machafuko" kwa kuwa tu Sabaya kakimbia🙂
 
Na sisi tumeshapiga timamu Kilimanjaro toka jumapili iliyopita tunamtafuta popote alipo tumuwajibishe kiuanaume, aombe Mungu asiingie kwa mikono yetu maana anaweza akaungana na shujaa mwendakuzimu
 
Unataka kusema tayari yupo lupango?
Alishawekwa chini ya mikono salama masaa kadhaa kabla ya kauli ya rais.

Movements zake zote zilikua under water tight surveilence tangu April, msichokijua ni kwamba hata ile safari ya clouds ilikua ni mkakati wa kujinasua angalau na kuchunguzwa, kutumbuliwa kulikua kunamuweka kwenye nafssi nzuri kuliko kusimamishwa ili kupisha uchunguzi.

Alishauriwa kufanya vile sababu washauri wake waliamini akifanya vile atakua talk in the country kwa kuonekana ni kijana wa Chama anayekipambania Chama pia serikali na hivyo jaribio lolote la kumgusa litakiathiri Chama na serikali.
 
Hata Kakoko alikamatwa na kupekuliwa lakini aliachiwa
 
Akitoroka itakuwa vizuri ili asirudi tena hapa nchini maisha yake yote.
 
Mbona mwizi wa magari nae alitoroka nchini kwenda Canada na sikukusikia kulalamika. Kwani akienda kuishi nje wewe unakosa nini au unapata nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…