Ole Sabaya asomewa Mashtaka Sita (6) kwa Uovu aliotenda Hai. Aenda Rumande hadi Juni 18

Kasome hati ya mashtaka πŸ˜…πŸ˜ŠπŸ˜Š. Anavuna alichopanda, afadhali yeye kapewa nafasi ya kufikishwa mahakamani kuliko wale aliokuwa anawaminya kimya kimya na kuwafanyia unyama.
Hayo ni mashtaka.... kazi ya Jamuhuri ni kuthibitisha kama ni kweli
 
Moshi to Arusha Naumi 3000 tu, hayo mafuriko so yaende huko
 
Hayo ni mashtaka.... kazi ya Jamuhuri ni kuthibitisha kama ni kweli
Sasa mbona mshaanza kupiga kelele kama mnajua kuwa ni mashtaka. Kasomewa mashtaka sasa subiri jamhuri ithibitishe kwani shida iko wapi.
Mbona akina rugemalira wako ndani mpaka leo jamhuri mwaka wa nne imeshndwa kuthibitisha mashtaka, au wao siyo watu mtu ni sabaya πŸ˜…
 
Na wewe ni kati ya kundi la sabaya la waf*iraji nini?[emoji28][emoji28]
 
Hivi vyeo kama ukuu wa wilaya na ukuu wa mikoa ni vikubwa mno kupewa vijana wa umri wa miaka 30!. Ni vya watu mature wenye umri zaidi ya miaka 45 wenye uzoefu wa maisha na dunia hii. Imagine unakapa kakijana ka miaka 22 ukuu wa mkoa, unategemea nini? Si unakaharibia maisha tu? Katakapofika miaka 50 unategemea kawe kamefikia cheo gani kikubwa zaidi ya hicho kalichoanzia? Urais au zaidi ya urais?
 
Yaani wayu wa humu jf bwana .mtuambie kafanya makosa gani andikeni humu tujue sio mnaleta polojo tu uhujumu uchumi ni enwo pana je kahujumu nini?

Kwa nini hayo maswali usiwaulize waliomkamata?

Sisi unatuonea bure, hatujui.
 
Bado wewe , Wanafiki wakubwa nyie ! wewe si ndio kinara wa kutetea uchafu humu ?
 
Tulionya humu mara kadhaa watu walitia pamba masikioni wakijua dunia imeacha kuzunguka katika mhimili wake... cheo ni dhamana na utu ni busara.
Wote walionyanyasa watu sababu ya vyeo au kujipendekeza washuke chini na watubu ili wasamehewe la si hivyo "Hukumu ya waliodhulumiwa" kamwe haitawaacha... wako watakaoshinda na kukesha katika nyumba za ibada kamwe... kamwe Mungu hamuachi dhalimu mpaka atubu kwa aliowadhulumu... wako wanaokesha na kushinda kwa masangoma yote hayo ni bure...!!


"Nilipata kuandika humu...
FALSAFA ya maisha yasema;
"UKIDHALILISHA UTADHALILISHWA, UKIUA WATANO WA SITA WAO UTAKUWA WEWE... UKIUA SITA WA SABA WAO UTAKUA WEWE NK. Ikiwa hivyo haitoshi Utalipwa kwa utakachotenda!!"
MAANDIKO: HAKUNA AMPAYE MWANAE NYOKA BADALA YA SAMAKI AU JIWE BADALA YA MKATE!
KAMA' TADINU TUDANU: UTATENDEWA ULICHOTENDA; UKIMZINI BINTI AU MKE WA MTU NA WAKO ATATENDWA VIVYO HIVYO..."
 
Mkuu waswahili wana misemo...
Halifichiki pembe la ng'ombe... mficha uchi hazai...
 
Ukimlinganisha makonda na Sabaya ,makonda anaobekana alikuwa malaika hiv
Bashite alikwenda Dodoma kumpiga risasi Tundu lisu alimteka MO, Msanii Roma mkatoliki, alimpoteza Ben sanane wa chadema anayo matukio mengi kupindukia
 
Yaani wayu wa humu jf bwana .mtuambie kafanya makosa gani andikeni humu tujue sio mnaleta polojo tu uhujumu uchumi ni enwo pana je kahujumu nini?
We fala dikteta magufuli aliwahi kukuambia wasamalia waliokuwa wanabambikwa mikesi ya uhujumu- uliwah ambiwa ni nini walihujumu
 
Watu wakiandika hivyo naona wamechelewa na wanatapatapa.
Mlitakiwa kumshauri huyo Sabaya maana baadhi ya matendo yake yalifanyika hadharani na hata mama Mgwira alimuonya
 
Yaani wayu wa humu jf bwana .mtuambie kafanya makosa gani andikeni humu tujue sio mnaleta polojo tu uhujumu uchumi ni enwo pana je kahujumu nini?
Acha kufikiri kwa kutumia makalio yani unatafuta ushahidi JF ? Si uende huko mahakamani ukasikilize kesi yake ndio ujuwe anashtakiwa kwa makosa gani.
 
Hakuna anapiga kelele......
is just a fact
 
Tulia wewe mke wa sabaya mmeo ananyolewa kwa chupa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…