Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Karibia yote 6 ni mazitoLoh, hana dhamana...unyanganyi wa kutumia silaha!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibia yote 6 ni mazitoLoh, hana dhamana...unyanganyi wa kutumia silaha!
Ukimlinganisha makonda na Sabaya ,makonda anaobekana alikuwa malaika hivMAKONDA ashukuru alijitoa mapema
Ni akiwa kwenye hiyo nafasiMKUU WA WILAYA HANA DHAMANA?
Kidplomasia ikoje
Hivi jamaa alikua hana mke
Diplomasia ipi ?MKUU WA WILAYA HANA DHAMANA?
Kidplomasia ikoje
Uzuri ni kuwa hayana dhamana kwa hiyo yupo yupo sana tu hapo mjini Kisongo. Tulipokuwa tunalalamikia sheria ya makosa haya kunyimwa dhamana hayawani wa CCM walitucheka,sasa imekula kwa kipenzi chao.Karibia yote 6 ni mazito
Si kasimamishwa tuAliyekuwa.
Haya halafu mseme Magufuri alikuwa mzalendo,tuliibiwa sana kipindi cha Magufuri,Tulidhulumiwa sana kipindi chake na kunyanyaswa sana utafikiri Tanzania siyo nchi yetu kwa kukumbatia vibaka kama Ole Sabaya na Makonda.
... jambazi lililokuwa limepewa cheo na kulindwa kwa kila hali na mamlaka ya uteuzi! Shame on them all!Acha akawekwe wanapokaa majambazi wenzie
Karibia yote 6 ni mazito
Do you think JPM sent him to do those criminal things???Haya halafu mseme Magufuri alikuwa mzalendo,tuliibiwa sana kipindi cha Magufuri,Tulidhulumiwa sana kipindi chake na kunyanyaswa sana utafikiri Tanzania siyo nchi yetu kwa kukumbatia vibaka kama Ole Sabaya na Makonda.
... akichomoka akatambike. Na yote yana adhabu kali; akikutwa na hatia na any of them haina tofauti na kukutwa na hatia na yote maana yana adhabu sawa na adhabu zinaenda pamoja!Karibia yote 6 ni mazito
3 or 5? nadhani ni watatuenzake watano