900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
wamasai wanatia popote na haulizwi na mke wake,nasikia kuna yule manzi wa kisarawe ndo anakula nayeHivi jamaa alikua hana mke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wamasai wanatia popote na haulizwi na mke wake,nasikia kuna yule manzi wa kisarawe ndo anakula nayeHivi jamaa alikua hana mke
Hana kinga yoyote ya criminal responsibilityMKUU WA WILAYA HANA DHAMANA?
Kidplomasia ikoje
Really,Because actions speaks louder more than words.Do you think JPM sent him to do those criminal things???
kuku wa siku hizi wameokoka na kujazwa rohoAisee...
Dua la Kuku siku hizi linampata Mwewe...
Raha sana...
Jinai haifi, Makonda naye file lake lazima litakuwa na Armed Robbery
Aandae na 3D Glasses ili aone kitu kama kiko Live vileHii mbona bado hujashangaa subiri mbelee limovie fulani hivi hutaamini[emoji848]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Yes. He was loved because he stopped CDM from their stronghold constituent, through evil tricks. Hii ya kuibia watu ni agenda yake sababu yeye ni mwizi. Hao mabaunsa aliwatolea wapi???Really,Because actions speaks louder more than words.
Kumbe[emoji848]ndo maana alikuwa anafanya ushenzi huu
Sasa ngoje tuone,kitu kingine ni dharau wewe unagombana na Mkuu wa Mkoa kisa ni mwanamama na siyo chaguo kutoka ccm hivi huo ni utu.Yes. He was loved because he stopped CDM from their stronghold constituent, through evil tricks. Hii ya kuibia watu ni agenda yake sababu yeye ni mwizi. Hao mabaunsa aliwatolea wapi???
Haliwezi kuwepo kwasababu ushahidi hamna dna zake zilishapotea kwenye mbunye na tigo za wahangaLA ubakaji mbona sijaliona
Hili mama samia limemkera sn! Hata juzi aliliongelea tena wakati anaapisha baadhi ya viongozi alowateua!Sasa ngoje tuone,kitu kingine ni dharau wewe unagombana na Mkuu wa Mkoa kisa ni mwanamama na siyo chaguo kutoka ccm hivi huo ni utu.
Aliwapiga watu na mawe akasahau kuwa na yeye anaishi kwenye nyumba ya vioo 😂😂Hehehe la kuhujumu uchumi limemrudia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] , hapo hamna dhamana [emoji28][emoji28][emoji28]
Vijana tuna cha kujifunza katika maisha ,Muogope Muumba wako kila wakati .Aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai Ole ngai Sabaya leo tar. 04.05 2021 amefikishwa mahakani akiwa na wenzake watano.
Sabaya peke yake amesomewa mashitaka sita likiwemo la Uhujumu uchumi na utakatishaji fedha pamoja na unyang'anyi kwa kutumia silaha.
Kesi imeahirishwa mpaka June 18 2021 na watuhumiwa wote wamerudishwa rumande kwani makosa hayo hayana dhamana.
Chanzo cha habari: Azam