Ole Sabaya: Hai iliendeshwa kihuni sana, mimi nimekuwa mwarobaini

Kwani yeye kaongea tu au katoa takwimu? Angetoa takwimu halisi ingekua rahis kuandika hayo uloandika sasa kuongea tu kama vile shida nini?

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
 
Bila shaka wewe ni mwizi na mkwepa kodi.
Watu wanaomdiss ole sabaya nawaona wapuuzi! Jamaa anachapa kazi na siku zote ukiwa strict katika mafasi ya utawala lazima utakuwa na maadui wengi!

Maadui lazma wengi sababu jamaa hacheki na kima! Wabongo wanafurahia uongozi wa kubembelezana na kuombana ombana kwenye utekelezaji wa majukumu na ndio maana wanamfurahia mama sababu wanajua kuna room yw kufanya uzembe na bado wasiathirike!
 
Hivi hii Ruzuku ni kwa kila mwezi kumbe aisee😳😳😳!!! Huyu jamaa avunjiwe Chama tu kama hataki kuachia uenyekiti kwa miaka yote hio!

Ruzuku kwa mwaka its almost 3.6B halafu mtu awe hana hata ofisi! Maana kwa level hii ya ubinafsi chama kitakuwa hakipati hata sh.100 mbovu
 
Atakaepingana nae ni baada ya mkeka wa uteuzi kushuka na jina lake kutokuwepo
 
Duh! Wewe jamaa bhana hata huwa sikuelewagi hata kidogo. Ndo nini ulichoandika hapa?
 
Nimemsikiliza katoa facts tupu tena kwa data ,hili limewakera sana wafuasi wa Mbowe,

Inatakiwa serikali ilinde hivi vipaji kwa nguvu nyingi sana
Mazuzu kama wewe kule North Korea mnapigwa risasi za kwenye masaburi mfululizo
 
Kamanda acha kutukana basi ujibu issues alizozieleza. Kumtukana tu bila kujibu hoja zake kunamwongezea ujiko, usishangae akapewa ukuu wa mkoa kwa kueleza jinsi alivyoshughurikia issues hizo na kuonekana ni kweli!
vimada wa Ole Sabaya mnatapatapa
 
Kwani hiyo Hai haikuwa na mkurugenzi kabla ya yeye
Haikuwa na mkuu wa wilaya kabla yake
Haikuwa na tendaji wengine wa serikali kabla ya yeye
Kilimanjaro haikuwa na mkuu wa mkoa
Unazijua kazi za mbunge ww jinga
Hizo makitu unazosemea hapo kulikuwa hakuna wizara husika kutatia hayo makitu yako ya uongo
Na kwa taarifa yako Hai ilikuwa vizuri sana tena yenye umoja na ushirikiano
Ila huyu jinga na yule bwana ndo mloleta shida huku hai
 
thetallest , wakatanta , jingalao , Idugunde , Nigrastratatract na wengine wengi tu sijawa mention, wote ni Sabaya na kundi lake.
 
Alikuwa anawadanganya kwenye TV huyo dogo
 
Vipi hali huko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…