Ole Sabaya: Hai iliendeshwa kihuni sana, mimi nimekuwa mwarobaini


Sawa umesikika mjinga wa mwaka 2021
 
eti ukiwa strict kwa akili yako unaona kutumia mabavu ndio njia sahihi ya kufanya kazi vizuri .
 
Wale Mataga /watangazaji Tivi Mawingu wakamatwe na kuchunguzwa.
 
Wakati yeye mwenyewe alifanya mambo ya kihuni

Ova
 
Sasa hivi atakua aloe Vera sio muarobaini tena 🤣🤣🤣, ishajitokeza press ya ikulu jana 🤣🤣🤸🤸
 
Kwasababu alisababisha Mbowe apoteze ubunge
 
Mpaka sasa inaonekana vijana wamefeli kudeliver katika uongozi. Vijana wengi viongozi ni changamoto.
 
Wanaomdiss Ole Sabaya nao wanakuona wewe mpuuzi tu maamuma wa utawala wa sheria unayetaka nchi iendeshwe kama genge la mafia!
 
Aliyetaka kumvunjia chama yuko six feet under .Wamebaki chawa zake tu kwa sasa.
 
Nasikia unaumwa UKIMWI pole sana mkuu lakini Mungu atakupinya!!
Naumwa ugonjwa wa furaha atuamini kama sasa tupo huru mliozoea kuona viroba baharini,ubambikaji, utekaji,maigizo ya mapapai, chips,mahindi mnapata tabu Sana zama hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…