Ole Sabaya hata kama alikuwa na hatia lakini sio ya unyag'anyi wa kutumia silaha. Hakimu aliyehukumu hana weledi

Hakimu sijui ametoka geita huko unategemea nini na alikuwa karibu na somebody mushi wa kike(aliyearishe kesi ya Sabaya)...lazima atadanganywa atimize malengo fulani.
 
Sasa unapoenda eneo la tukio na bunduki umeninginiza begani halafu unachotaka upewe si halali,km huo si unyanganyi wa kutumia silaha Ni nini. Ile silaha maana yake anakutisha ili usifurukute au kuleta ubishi.

Kwahiyo nikija kwako nimeshika bastola mkononi nikakuamrisha toa pesa, kwasababu sijajeruhi mtu au kuitumia Ile bastola kivyovyote basi tukio lile litakuwa si la unyanganyi.

Una ubongo mavi na akili zako Ni mavi pia.
 
Angekuwa na mke akitoka jela angemhadithia jinsi alivyokula bakora za matakoni na kumwonyesha makalio.

Mpuuzi sana yule.

Wengi mnaomtetea Sabaya mko mbali na Wilaya ya Hai na hamjui kwa kina ushenzi,ujinga, upuuzi, ujambazi, wizi, ubabe, uhayawani,ufisadi na ufirauni wa Sabaya alioufanya.

Hicho kifungo Ni kidogo Sana,Sabaya hajatendewa haki.
 
Huyo Hakimu kajidharaulisha sana ,aliamini atasifiwa,kiukweli kawachukiza watanzania wengi sana hasa wazalendo
 
Huyu hapa Mh Hakimu , Mungu amlinde

 
Kwani amehukumiwa kwa mambo aliofanya akiwa wilaya ya Hai? Mbona unakuwa kama huelewi kinachondelea hasa.
 
Katika haya ulioorodhesha kuna unyag'anyi wa kutumia siraha?
 
Picha hukulipata vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…