Ole Sabaya hata kama alikuwa na hatia lakini sio ya unyag'anyi wa kutumia silaha. Hakimu aliyehukumu hana weledi

Nimesoma baadhi ya nukuu za hakimu Amworo anakiri kuwa Sabaya alikuwa na silaha eneo la tukio . Lakini hii sio sababu ya kudai kuwa alitenda unyang'anyi wa kutumia silaha.

Ili unyang'anyi wa kutumia silaha utimie lazima mtuhumiwa atishie kwa silaha, kutumia silaha na kisha kupora mali. Ukifuatilia kesi ya Sabaya utaona kuwa hakuna mahala hili linathibitishwa.

Lakini hata mashahidi wa mashitaka wanakiri kuwa Sababya na wenzake walikwenda na magari ya Serikali kufanya upekuzi juu ya magendo. Hapa ndipo utaona kama kuna walakini, maana hata mkuu wa wilaya ya Arusha wakati huo alifahamu.

My take; Mahakimu wanaofanya kazi kwa kukariri hawafai.
Sasa hakimu huyo ndie anayefaa kusikiliza kesi za magenge yanayoainishwa humu jukwaani hivi sasa ili ayafikie magenge yote na wahusika wote, jipange kama nawe ni mshirika kwa namna yeyote. 🤸.
 
Yule hakimu aliletwa kutoka Geita kwa kazi hiyo maalum ya kumfunga Sabaya miaka 30. Ni mojawapo ya hukumu za ajabu.
 
Pole sana mkuu! Natambua unapitia kipindi kigumu sana. Na usisahau bado ana kesi nyingine ya uhujumu uchumi!!

Na kesi zote ushahidi uko nje nje. Yaani hawezi kuchomoka.
Washirika na mashabiki was magenge ya uovu wako na Hali ngumu kweri kweri😆.
 
Nimesoma baadhi ya nukuu za hakimu Amworo anakiri kuwa Sabaya alikuwa na silaha eneo la tukio . Lakini hii sio sababu ya kudai kuwa alitenda unyang'anyi wa kutumia silaha.

Ili unyang'anyi wa kutumia silaha utimie lazima mtuhumiwa atishie kwa silaha, kutumia silaha na kisha kupora mali. Ukifuatilia kesi ya Sabaya utaona kuwa hakuna mahala hili linathibitishwa.

Lakini hata mashahidi wa mashitaka wanakiri kuwa Sababya na wenzake walikwenda na magari ya Serikali kufanya upekuzi juu ya magendo. Hapa ndipo utaona kama kuna walakini, maana hata mkuu wa wilaya ya Arusha wakati huo alifahamu.

My take; Mahakimu wanaofanya kazi kwa kukariri hawafai.
Rudi shule weye bush lawyer; wewe ni empty set kwenye mambo kama hayo; Nyau we![emoji2956][emoji2]
 
Nimesoma baadhi ya nukuu za hakimu Amworo anakiri kuwa Sabaya alikuwa na silaha eneo la tukio . Lakini hii sio sababu ya kudai kuwa alitenda unyang'anyi wa kutumia silaha.

Ili unyang'anyi wa kutumia silaha utimie lazima mtuhumiwa atishie kwa silaha, kutumia silaha na kisha kupora mali. Ukifuatilia kesi ya Sabaya utaona kuwa hakuna mahala hili linathibitishwa.

Lakini hata mashahidi wa mashitaka wanakiri kuwa Sababya na wenzake walikwenda na magari ya Serikali kufanya upekuzi juu ya magendo. Hapa ndipo utaona kama kuna walakini, maana hata mkuu wa wilaya ya Arusha wakati huo alifahamu.

My take; Mahakimu wanaofanya kazi kwa kukariri hawafai.
Sabaya hakuwa na mawakili mahiri
 
HUkumu imewekwa kimkakakti Ili akikata rufaa ashinde kirahisi. Hivyo tu. Tumtarajie mtaani baada ya mwaka 1 Hadi miwili.
 
Nimesoma baadhi ya nukuu za hakimu Amworo anakiri kuwa Sabaya alikuwa na silaha eneo la tukio . Lakini hii sio sababu ya kudai kuwa alitenda unyang'anyi wa kutumia silaha.

Ili unyang'anyi wa kutumia silaha utimie lazima mtuhumiwa atishie kwa silaha, kutumia silaha na kisha kupora mali. Ukifuatilia kesi ya Sabaya utaona kuwa hakuna mahala hili linathibitishwa.

Lakini hata mashahidi wa mashitaka wanakiri kuwa Sababya na wenzake walikwenda na magari ya Serikali kufanya upekuzi juu ya magendo. Hapa ndipo utaona kama kuna walakini, maana hata mkuu wa wilaya ya Arusha wakati huo alifahamu.

My take; Mahakimu wanaofanya kazi kwa kukariri hawafai.
Wajina su tuseme kwa ukali zaidi, wa.pumbavu huwa hamtumii akili.
Sabaya kesha kubali ujambazi, kuwa alitumwa, sasa ninyi...nye...nye...nye..za nini?
 
Nimesoma baadhi ya nukuu za hakimu Amworo anakiri kuwa Sabaya alikuwa na silaha eneo la tukio . Lakini hii sio sababu ya kudai kuwa alitenda unyang'anyi wa kutumia silaha.

Ili unyang'anyi wa kutumia silaha utimie lazima mtuhumiwa atishie kwa silaha, kutumia silaha na kisha kupora mali. Ukifuatilia kesi ya Sabaya utaona kuwa hakuna mahala hili linathibitishwa.

Lakini hata mashahidi wa mashitaka wanakiri kuwa Sababya na wenzake walikwenda na magari ya Serikali kufanya upekuzi juu ya magendo. Hapa ndipo utaona kama kuna walakini, maana hata mkuu wa wilaya ya Arusha wakati huo alifahamu.

My take; Mahakimu wanaofanya kazi kwa kukariri hawafai.
Cha kufanya ungewasilian haraka sana na jopo la mawakili wa utetezi ili uwape maujuzi namna ya kushinda rufaa.
 
Nimesoma baadhi ya nukuu za hakimu Amworo anakiri kuwa Sabaya alikuwa na silaha eneo la tukio . Lakini hii sio sababu ya kudai kuwa alitenda unyang'anyi wa kutumia silaha.

Ili unyang'anyi wa kutumia silaha utimie lazima mtuhumiwa atishie kwa silaha, kutumia silaha na kisha kupora mali. Ukifuatilia kesi ya Sabaya utaona kuwa hakuna mahala hili linathibitishwa.

Lakini hata mashahidi wa mashitaka wanakiri kuwa Sababya na wenzake walikwenda na magari ya Serikali kufanya upekuzi juu ya magendo. Hapa ndipo utaona kama kuna walakini, maana hata mkuu wa wilaya ya Arusha wakati huo alifahamu.

My take; Mahakimu wanaofanya kazi kwa kukariri hawafai.
1. Sabaya pale alienda Kama Nani?
2. Alienda kufanya nini?
3. Sheria gani inamruhusu kufanya vile ; kuteka watu na kuwaweka chini ya ulinzi, kuwapiga na mkanda- (Kuna CCTV inamuonyesha akipiga mtu na mkanda huku wameshikiwa bastola), kuwasachi watu na kuchukua fedha zao na simu, kudai apewe Rushwa(hongo ili asiwashitaki)
4. Sheria gani ya nchi inaruhusu mkuu wa wilaya kwenda sehemu ingine ambayo sio eneo lake la kazi, kuvamia biashara ya watu na kudai anafanya msako wa wanaotakatisha fedha
5. Kumshikilia mtu ( kumteka diwani Msangi) kwa masaa

Kitu ninashangaa mnapata wapi ujasiri wa kutetea uovu, ambao watu walipigwa,waliporwa fedha zao, walinyanyaswa...kama wewe sio muovu lazima uone wazi kuwa hilo jambo sio sahihi. Lakin ukiwa muovu kama yeye unaona sawa tu, na tena utatetea! Idiot
 
Kila siku mahakimu kama hawa wanaumbuka High Court.
Mwanzoni mlisema hawezi kufungwa... sasaiv ni high court 😄 Atashinda kesi zote 5 zilizobaki lakin sio hiyo ya mpare Bakari Msangi. Take my word!
 
Sheria sheria na ushahidi lakani pia sabaya nae alikuwa na mawakili wake ushahidi ulitolewa pande zote mbili ifike hatua kila mtu avune anachopanda hakimu ametoa hukumu kwa kufuata miongozo yote na ushahidi wote , kama mnahisi anaonewa ana nafasi na haki ya kikatiba kukata rufaaa masuala ya kufundisha watu kazi kwenye taaluma zao si jambo la kuigwa wala la kufurahia kila mtu ashinde mechi zake
 
Kama umeona ameonewa nenda jela msaidiane...nyie mlikua mnaharibu nchi hii kabisa...unyama mkubwa sana mmefanya.
 
Back
Top Bottom