Sabaya sio ndugu yangu lakini mimi ni muumini wa Natural Justice,mnatengeneza viwanda vyenu vya majungu na yule incompetent anawasikiliza
Sabaya kalipa vijana wa njoro-ya-dobi na deep sea pale Moshi wanashinda Kicheko cafe kumsafisha kwenye mitandao na ma group ya watsup,.Wakuu amani iwe juu yenu!
Hili naomba niliseme wazi na Sabaya mwenyewe najua yupo humu asome na asikie ujumbe impate. Kama hataki aache lakini matokeo atayapata muda sio mrefu. Hii ni tahadhari kwake kama ana masikio asikie, kama ana ubongo aelewe.
Kuna kundi la vijana wa CCM ambalo hata mimi nikiri mimi kwenye makundi hayo, wanafanya kazi kumsema Vibaya Mhe Rais wetu chini ya uamuzi wake wa kumsimashia Sabaya nafasi ya ukuu wa wilaya, makundi haya yanamtetea Sabaya kwa hali na mali akiyaandaa yeye mwenyewe. Kwa bahati mbaya sana kazi wanayofanya ni kudhihaki mamlaka za nchi. Wamesahau kuwa aliyemsimamisha kazi Sabaya si Samia Suluhu Hassan bali ni Rais Samia Suluhu Hassan. Urais ni taasisi kubwa ina macho yake ya kila aina na ni mengi.
Sabaya badala ya kutulia achunguzwe tuhuma dhidi yake ili ma majibu yajulikane na badala yake anatumia vijana kumsafisha aonekane kua hana hatia. Sabaya unataka kujihami na nini? What if matokeo ya uchunguzi yakasema aliharibu pakubwa na aende jela, wasafishaji wake watenda wapi hali ikiwa hivyo. Wewe wenzako wanatulia hata ili hata kama kuna makosa yatadhihiri hata busara inaweza kutumika kumuadhibu, leo wewe unaona umeonewa na kutuma vijana kumsema vibaya Mama?
Matukio yote unayotuhumiwa nayo Sabaya ni makubwa sana ni bora kukaa kimya. Muungwa huchutama pale akoseapo. Wajanja hukaa kimya ili hata kama kuna makosa waonewe huruma lakini wewe kichwa ngumu.
Hivi wewe unafikiri Mama hana faili lako? Unafikiri hakujui vizuri? Endelea kujiona unaonewa utapata mtu wa kukurudisha kwenye nafasi yako kama si jela.
Sabaya kalipa vijana wa njoro na deep sea pale Moshi wanashinda Kicheko cafe kumsafisha kwenye mitandao na ma group ya watsup
Sabaya sio ndugu yangu lakini mimi ni muumini wa Natural Justice,mnatengeneza viwanda vyenu vya majungu na yule incompetent anawasikiliza
Zile zilikuwa sifa za guma tu mijitu ya hovyo hovyo na yenye makandokando ndiyo aliyahitaji ili kufanikisha anayoyataka lkn kwenye utawala smart kama wa mama hawa mbweha hawana nafasiMimi bado nina mashaka naye kuwa ni Mtu wa Kitengo (bado kile kitambulisho alichoshikwa nacho cha kufoji cha TISS mwaka fulani) harafu akaachiwa bado napata mashaka!
Mambo yataishia uchunguzi bado unaendelea.
Huyu saa mbaya hafai hata kwenda jela wampeleke motoni tu. Sio mtu rafiki kuishi mazingira ya binadamu.Ole Tulia tukusimange
View attachment 1786791
[emoji2955][emoji2955][emoji2955]Ok!!! Bwana Ole Sabaya siku zote sikio la kufa halisikii dawa mpaka udongo uingie ndani. Wakubwa wanakushauri kama walivyokushauri mwanzo lakini bado ni mweusi sana hutaki kutakata ukawaelewa. Anyways endelea kujipiga brash kama itasaidia labdaUsitishe watu mjinga wewe,eti taasisi ya Raisi ina macho mengi,danganya wajinga,acha watu waongee wanachoamini,kamtishe mkweo huko
Wakuu amani iwe juu yenu!
Hili naomba niliseme wazi na Sabaya mwenyewe najua yupo humu asome na asikie ujumbe impate. Kama hataki aache lakini matokeo atayapata muda sio mrefu. Hii ni tahadhari kwake kama ana masikio asikie, kama ana ubongo aelewe.
Kuna kundi la vijana wa CCM ambalo hata mimi nikiri mimi kwenye makundi hayo, wanafanya kazi kumsema Vibaya Mhe Rais wetu chini ya uamuzi wake wa kumsimashia Sabaya nafasi ya ukuu wa wilaya, makundi haya yanamtetea Sabaya kwa hali na mali akiyaandaa yeye mwenyewe. Kwa bahati mbaya sana kazi wanayofanya ni kudhihaki mamlaka za nchi. Wamesahau kuwa aliyemsimamisha kazi Sabaya si Samia Suluhu Hassan bali ni Rais Samia Suluhu Hassan. Urais ni taasisi kubwa ina macho yake ya kila aina na ni mengi.
Sabaya badala ya kutulia achunguzwe tuhuma dhidi yake ili ma majibu yajulikane na badala yake anatumia vijana kumsafisha aonekane kua hana hatia. Sabaya unataka kujihami na nini? What if matokeo ya uchunguzi yakasema aliharibu pakubwa na aende jela, wasafishaji wake watenda wapi hali ikiwa hivyo. Wewe wenzako wanatulia hata ili hata kama kuna makosa yatadhihiri hata busara inaweza kutumika kumuadhibu, leo wewe unaona umeonewa na kutuma vijana kumsema vibaya Mama?
Matukio yote unayotuhumiwa nayo Sabaya ni makubwa sana ni bora kukaa kimya. Muungwa huchutama pale akoseapo. Wajanja hukaa kimya ili hata kama kuna makosa waonewe huruma lakini wewe kichwa ngumu.
Hivi wewe unafikiri Mama hana faili lako? Unafikiri hakujui vizuri? Endelea kujiona unaonewa utapata mtu wa kukurudisha kwenye nafasi yako kama si jela.
Aliipata vzr sana, sema yeye ndie aliekuwa analea lea huu upumbavu.mkuu hii ya siku nyingi? Magu hakuwahi kuipata enz zake hii?
Mtoto wa mfalme enzi zake
Hapo ni SAwa na kusafisha choo cha standSabaya kalipa vijana wa njoro na deep sea pale Moshi wanashinda Kicheko cafe kumsafisha kwenye mitandao na ma group ya watsup
Jinai haina ukomo.Mimi ningekuwa nimezulumiwa na hawa vibaka walai ningezaa nao sasa wakiwa raia lzm wateme changuHivi kuna excuse yoyote kwa mtu anayetii amri haramu? Au ni kutaka kuchonganisha mamlaka?
Huyo ni jambazi kama majambazi mengine tena anavuta bangi haswaOle Tulia tukusimange
View attachment 1786791
Kwa hiyo mtumishi wa TISS anakibali cha kufanya uovu atakavyo? Loooh hapana, watu wa TISS wako makini sana, hata hao wafanyao propaganda sidhani kama huwa wanaenda mbali kuharibu mali, Uhuru na usalama wa watu wasiokuwa na hatia.Mimi bado nina mashaka naye kuwa ni Mtu wa Kitengo (bado kile kitambulisho alichoshikwa nacho cha kufoji cha TISS mwaka fulani) harafu akaachiwa bado napata mashaka!
Mambo yataishia uchunguzi bado unaendelea.
Ati nani incompetent? Mama Samia kipanga wetu aliyejawa na hekima na busara...haendeshwi na misifa wala haamui kwa jazba, chuki na kiburi.Sabaya sio ndugu yangu lakini mimi ni muumini wa Natural Justice,mnatengeneza viwanda vyenu vya majungu na yule incompetent anawasikiliza