Ole Sabaya kaa kimya uchunguzwe, acha kuchonganisha mamlaka za nchi. Utaingia matatizoni

Usitishe watu mjinga wewe,eti taasisi ya Raisi ina macho mengi,danganya wajinga,acha watu waongee wanachoamini,kamtishe mkweo huko
Nikiangalia hiyo Avarta yako ya " Nyamatare 1987". Nakumbuka juzi Sabaya akiwa Cloud TV alisema yeye ana MIAKA 34.

Pia namna ulivyojibu hapo inaonyesha Munkari wa Kimasai hivi.

Anyway ni Mtizamo wangu tu
 
Hamuwezi mama. Si unaona mama baada ya Iddy ameenda mapumzikoni Zanzibar kusomewa dua nzito na wazee. Atakae mjaribu sasaiv kwisha habari yake.. tutamfukia
 
Inasikitisha sana kuona wananchi wakiteseka kwa sheria ambazo zimeekwa. Ifike wakati wananchi nao kwa umoja wao wajue tatizo liko wapi na wajaribu kutafuta suluhisho.

Mie kwa mtazamano wangu sheria zetu ni mbovu na nyingi ni za kijima. Sifahamu ni kwanini mtu kama DC/RC anapewa mamlaka kisheria ya kumueka ndani bila ya mahakama. Ziko nyingi sheria za kipuuzi puuzi kama hizi ambapo wananchi wanaishi kwa shida, wengine wakiambiwa hawapewi dhamana wanaita uhujumu uchimi, ugaidi .n.k

Nadhani iko haja ya wananchi kwa kutumia jumuiya za kiraia kuikalia serekali kooni, hadi iziondoshe. Inatia aibu kusikia TZ ati kuwa na blogi au youtube channel ni lazima uwe na leseni ya serekali!
 
hakuna mtu pale, kichwani bure kabisa, profesa assad ndio aliokuwa anamaanisha watu kama hawa kwenye serikali kuwa kichwani hazimo, bado analeta propaganda kutumia account feki nyingi nyingi mitandaoni
 
Huyu James Kaji ni nani au alikuwa na ni kwani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…