Ole Sabaya kaa kimya uchunguzwe, acha kuchonganisha mamlaka za nchi. Utaingia matatizoni

"mama ndio rais na ndio mwenyekiti wa chama"
hii statement inatosha kumuonyesha kuwa hakuna lolote anaweza fanya. na aelewe mama ndio namba 1 kwa sasa
 
Sabaya anajua kama haya yaliyosemwa ni ya kweli au ni uongo. Kama ni ya kweli Sabaya mwombe Mungu na wanadamu uliowakosea msamaha. Umetenda dhambi na mshahara was dhambi ni mauti kwa amri ya Mungu na wala siyo amri ya Rais. Kama unaonewa sali kama Paulo na Sila ili milango ya gereza ifunguke. Ujeuri na ubabe havina nafasi mbele ya Mungu. Wewe ni mkristo.


Sent from my Infinix X606B using JamiiForums mobile app
 
Mimi hapa ndio huwa sielewi. Kabla na baada ya Ole Sabaya kusimamishwa mlikuwa mnajaza nyuzi humu za kumshambulia! Ila yeye au mtu akimtetea ni kosa sio? What's the meaning of natural justice!?
Ujitete kwa kumsema Rais? My friend unakuwa unajichimbia Kaburi
 
Sidhani kama Wanasiasa huwa wanaamini katika Mungu!
 
Nilikuwa hana mwendo baada ya kwenda clouds
 
Well said, rule of law! Ova! Uzuri Afande Mwarabu koko yuko kwa ajili ya haki ( business as usual) na Malafiale Mwakitalu lazima naye asimamie haki ( first impression) kwa umma.
 
Nimemsikiliza Yule mfanyabiashara wa Hai, Nina wasiwasi mwendazake alikuwa ananufaika na ujambazi wa sabaya ndio maana aliziba masikio
 
Kazi ipo aiseee 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…