Ole Sabaya kutinga tena mahakamani Oktoba 18 kwa kesi ya Uhujumu Uchumi

Ole Sabaya kutinga tena mahakamani Oktoba 18 kwa kesi ya Uhujumu Uchumi

Mfungwa wa kifungo cha miaka 30 kwa unyang’anyi wa kutumia silaha, Lengai Ole Sabaya na wenzake 6, kesho 18/10/2021, watarejea tena Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kusikiliza kesi nyingine ya uhujumu uchumi yenye mashtaka ya kuendesha genge la uhalifu, utakatishaji fedha na uhujumu uchumi.

Mweee...! Mungu saidia hii imuongezee kifungo cha maisha jera,ili wale matumaini atafanya makareti yawapotee kabisa
 
Mfungwa wa kifungo cha miaka 30 kwa unyang’anyi wa kutumia silaha, Lengai Ole Sabaya na wenzake 6, kesho 18/10/2021, watarejea tena Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kusikiliza kesi nyingine ya uhujumu uchumi yenye mashtaka ya kuendesha genge la uhalifu, utakatishaji fedha na uhujumu uchumi.

mbona sabaya tuu, na kina makonda walioteka watu na kupoteza watu wasifumbiwe macho, washughulikiwe
 
1634474021445.png
 
Kweli, amekuwa kitabu cha historia ya uongozi, nahisi umri nao wao teua wawe wanaungalia Sana, ujana unaupumbuvu Sana, lakini mvua 30 nazo dah!!! Nyingi wakate rufaa wampunguzie arudi azae hata mtoto uraiani
Hata akizaa jangili lienzie itakuwa faida gani kwa jamii!?
 
Kama ana evidence of any criminal wrongdoing, afanye plea bargain na DPP anaweza kupunguziwa sentence hii na pamoja na pending cases zake. Plea bargain siyo kulipa fedha tu.
 
Hilo shtaka la kuendesha genge la uhalifu tayari ameshahukumiwa kabla kesi haijaanza kusikilizwa, wale wenzake aliohukumiwa nao juzi ndio genge lenyewe na walikuwa wanavamia maeneo ya watu, ni ushahidi tu uwekwe sawa, hapo yamebaki mawili, kutakisha fedha, na uhujumu uchumi.
Anaraha kesi yake iko otomatiki,tayari imeziirika anagenge la uhalifu...manake uhalifu nayo imepita aikatai ndohuo kafanya hilo genge halikuwa lakusali, alivyoufanya niwakudai rushwa na hiyorushwa ni ili kodi isilipwe manake katakatisha fweza!! Kilakitu kinafloo otomaa jombaa kwaiyo anakula tena nyingi... iikesi haina aja ya wakili wasirkali itawapotezea muda wachkue kichaa oote apochuga iokoe muda naela.
Dingilai alomtuma nae nimakuni zinaongezwa arif!! Tukaege kirosafi hii dunia sioetu atii ukipewa ofisi tuliaga apondichi usijiinue kiniaje machalii simnaona hii njeree inaongezewa minondo,huku nondo Kule kuni
 
Napenda kujuwa wako watatu miaka 30, kila mmoja, au wanagawana miaka10 kila? Na iwapo wanagawana wangekuwa waliohukumiwa kwa kesi hiyo wapo thelathini, inamaana kila mmoja mwaka mmoja! Na kama 60 basi miezi sita?
 
Kesi ya Unyang'anyi kwa kutumia Silaha adhabu yake ni miaka 30 jela,kwa hiyo hapo kila mtu anakula miaka yake 30 kivyake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napenda kujuwa wako watatu miaka 30, kila mmoja, au wanagawana miaka10 kila? Na iwapo wanagawana wangekuwa waliohukumiwa kwa kesi hiyo wapo thelathini, inamaana kila mmoja mwaka mmoja! Na kama 60 basi miezi sita?
Haya majukumu huwa hayagawanywi, kila mmoja atabeba jukumu lake.
 
Back
Top Bottom