Bulamba
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 13,741
- 13,049
Waondoe vitu hatarishi kama kamba na vitu vyenye ncha kali katika gereza la Mh.SabayaMi ningejinyonga gerezani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waondoe vitu hatarishi kama kamba na vitu vyenye ncha kali katika gereza la Mh.SabayaMi ningejinyonga gerezani
Ilikua ni ushabiki wa kisiasa tu na upambe wa hovyo tuwatu walibisha humu
Mvua 30 zinatokana na kosa na vifungu vya sheria. Rufaa haiwezi kubadiri vifungu.Kweli, amekuwa kitabu cha historia ya uongozi, nahisi umri nao wao teua wawe wanaungalia Sana, ujana unaupumbuvu Sana, lakini mvua 30 nazo dah!!! Nyingi wakate rufaa wampunguzie arudi azae hata mtoto uraiani
Sijui kama atakuelewa kesssyeliasKesi Imefutwa Sasa Hivi
Imagine kakaa miaka mitatu tu ofisin, angekaa miaka 10 ingekuajeHapo hakuna uzuri wowote mkuu. Hiyo thelathini tu unaona ni kidogo!!?? Hapa hata ingekua ni miwili, kikubwa ni kuondoa tabia za viongozi kutumia nafasi zao kwa manufaa yao ya hovyo. Na "Legacy" ya mwendakuzimu aliyekuwa anayafumbia macho haya madudu ya mteuliwa wake mpendwa, inafukiwa kwa kina kirefu zaidi.
Makonda is next,tulia sema jamaa kashakimbia nchi.mbona sabaya tuu, na kina makonda walioteka watu na kupoteza watu wasifumbiwe macho, washughulikiwe
Mkuu, mauchafu ya huyu mtu, itakua ni kuichafua ofisi ya DPP na mahakama, acha sheria ifanye kazi yake hivyo ilivyo.Kama ana evidence of any criminal wrongdoing, afanye plea bargain na DPP anaweza kupunguziwa sentence hii na pamoja na pending cases zake. Plea bargain siyo kulipa fedha tu.
Ni kesho mkuu?[emoji849]Kesho maulid
Hakuna kitu kama hicho. Kila mmoja ananyeshewa mvua yake ya 30.Napenda kujuwa wako watatu miaka 30, kila mmoja, au wanagawana miaka10 kila? Na iwapo wanagawana wangekuwa waliohukumiwa kwa kesi hiyo wapo thelathini, inamaana kila mmoja mwaka mmoja! Na kama 60 basi miezi sita?
Itagoma kwa ibavu gani?Ningekua mm ndo sabaya ningegoma kwenda...nmeshakula mvua 30 halafu niende tena kufanya nini
MbudhogoWaondoe vitu hatarishi kama kamba na vitu vyenye ncha kali katika gereza la Mh.Sabaya
Utasema na wewe una mke anakuheshimu?. Au ni kibaka tu wa magomeni?mkuu naskia jamaa lilikuwa lilawiti, alikulawiti nini?
Anakwenda kupigwa 30 nyingine. Kisha atumikie miaka yote kwa wakati m1.Hahaha, watu mna roho mbaya sana, hizo 30 zinamtosha, yaani bado mnataka agongwe miaka mingine?
kabisa. tena ningewaambia hukumuni kwa kadri itakavyowapendezaNingekua mm ndo sabaya ningegoma kwenda...nmeshakula mvua 30 halafu niende tena kufanya nini