Ole Sabaya kutinga tena mahakamani Oktoba 18 kwa kesi ya Uhujumu Uchumi

Ole Sabaya kutinga tena mahakamani Oktoba 18 kwa kesi ya Uhujumu Uchumi

Hii kesi ya Mbowe sio ya kuichukulia poa. Maana kwenye criminal cases burden of proof lies na prosecution. Ni lazima wa proof beyond reasonable doubts all the allegations against him. Kwa jinsi international community in TZ inavyofatilia hii case....kama haitakuwa judged on merit....wakamfunga say like Sabaya (known criminal in society) inaweza kuleta hata sanctions. Ni jambo la ajabu sana kusema eti ku marinate aisee! Sielewi
 
Kweli, amekuwa kitabu cha historia ya uongozi, nahisi umri nao wao teua wawe wanaungalia Sana, ujana unaupumbuvu Sana, lakini mvua 30 nazo dah!!! Nyingi wakate rufaa wampunguzie arudi azae hata mtoto uraiani
Mvua 30 zinatokana na kosa na vifungu vya sheria. Rufaa haiwezi kubadiri vifungu.
 
Hapo hakuna uzuri wowote mkuu. Hiyo thelathini tu unaona ni kidogo!!?? Hapa hata ingekua ni miwili, kikubwa ni kuondoa tabia za viongozi kutumia nafasi zao kwa manufaa yao ya hovyo. Na "Legacy" ya mwendakuzimu aliyekuwa anayafumbia macho haya madudu ya mteuliwa wake mpendwa, inafukiwa kwa kina kirefu zaidi.
Imagine kakaa miaka mitatu tu ofisin, angekaa miaka 10 ingekuaje
 
Kama ana evidence of any criminal wrongdoing, afanye plea bargain na DPP anaweza kupunguziwa sentence hii na pamoja na pending cases zake. Plea bargain siyo kulipa fedha tu.
Mkuu, mauchafu ya huyu mtu, itakua ni kuichafua ofisi ya DPP na mahakama, acha sheria ifanye kazi yake hivyo ilivyo.
 
Napenda kujuwa wako watatu miaka 30, kila mmoja, au wanagawana miaka10 kila? Na iwapo wanagawana wangekuwa waliohukumiwa kwa kesi hiyo wapo thelathini, inamaana kila mmoja mwaka mmoja! Na kama 60 basi miezi sita?
Hakuna kitu kama hicho. Kila mmoja ananyeshewa mvua yake ya 30.
 
AAl1rE.jpg
 
Kipindi magufuli anaongea huu upupu walikuwa wanakenua hadi jino la mwisho, hawakujua kuna siku yatawakuta wao...
1634480137185.jpeg
 
Back
Top Bottom