Ole Sabaya kutinga tena mahakamani Oktoba 18 kwa kesi ya Uhujumu Uchumi

Huyu kijana Sabaya kweli alikuwa na maadui wengi, mitandao yote watu wanafurahia adhabu aliyopata huyu jamaa najiuliza kawafanyia nini lakini, huo sio ubinadamu kabisa
Ishi vizuri na watu wakubebe wakati wa shida.Baba yake akumfundisha falsafa hii.
 
We chaliii[emoji13][emoji13][emoji13]nimecheka sana arifu
 
Aliona raha Sana kumuagiza OCD kamata huyu weka ndani, akae ndani nae si binadamu kama alivyoweka wenzie
 
Je akikutwa na hatia katika kesi zilizobaki, hukumu zinaenda pamoja au inakuaje? Ufafanuzi .
 
Zikiwa adhabu ndogo ndogo zitaenda sambamba....
 
Kweli, amekuwa kitabu cha historia ya uongozi, nahisi umri nao wao teua wawe wanaungalia Sana, ujana unaupumbuvu Sana, lakini mvua 30 nazo dah!!! Nyingi wakate rufaa wampunguzie arudi azae hata mtoto uraiani
Tusi usingizie ujana kuna Vijana wengi tu.....wamewai kuaminiwa katika Umri mdogo na hawajawai kua na tabia haramu kama za Sir baya...
 
Baaaaado ndio kesi zinaanza kuwasili mahakamani baaado sana!
 
Huyu kijana Sabaya kweli alikuwa na maadui wengi, mitandao yote watu wanafurahia adhabu aliyopata huyu jamaa najiuliza kawafanyia nini lakini, huo sio ubinadamu kabisa
Kumbe hukufuatilia madudu ya Sabaya. Juzi Arusha beer zilinyweka sana kwenye viunga vya jiji la Arusha. Wanaomuunga mkono na kuona hana makosa, wana roho ngumu sana. Labda ni kukosa information au ni itikadi za kijinga za kisiasa
 
Hiyo ndo inaitwa ukikaa nchale ukisimama nchale. Akili zitamkaa.
 
Uzuri adhabu zitaenda sambamba kwa hiyo hata akipigwa mvua ya miaka 100 vifungo vinaenda sambamba
Hapo hakuna uzuri wowote mkuu. Hiyo thelathini tu unaona ni kidogo!!?? Hapa hata ingekua ni miwili, kikubwa ni kuondoa tabia za viongozi kutumia nafasi zao kwa manufaa yao ya hovyo. Na "Legacy" ya mwendakuzimu aliyekuwa anayafumbia macho haya madudu ya mteuliwa wake mpendwa, inafukiwa kwa kina kirefu zaidi.
 
Ivi hichi kitambulisho cha Sabaya kinachotembea mitaondaoni cha TISS, undercover, kazi maalum, ukweli wake ukoje hasa.


JESUS IS LORD!
Hicho kilishajulikana kuwa ni fake. Ilikua wakati akiwa UVCCM. Kabla hajafikishwa mahakamani kujibu kufoji hicho kitambulisho, Mwendakuzimu akamteua kuwa DC, kitu kilichompa kichwa kuanzia wakati huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…