Ole Sabaya: Rais Samia Suluhu ameleta tumaini jipya katika wakati bado taifa likiwa kwenye maombolezo ya Hayati Magufuli

Hata ujipendekezeje wewe ni mjinga tu, subiri hatma yako
 
Nitafunga siku 3 ili jicho la mama liangazie kwa kiongozi shupavu kama Ole Sabaya. Hizi ni chembe chembe za damu ya marehemu Edward Moringe Sokoine
 

Huyu anaweza kumshahuri nini MAMA ?
 
Sabaya anatakiwa kujua Rais wa sasa ni kiongozi na sio mtawala.
Mama Samia hapumbazwi na maigizo sifa bandai, yeye hafoki wala kukurupuka ni mtu wa vitendo.

Kwa awamu hii kama huna uwezo kaa pembeni
 
Ole Sabaya ni hazina ya uongozi wa nchi hii. Huyu ndio kiboko ya manyani na waganga njaa hana chembe ya mzahanao.
Hakuna hazina wala nini! Huyo mpuuzi hana tofauti yoyote ile na kunguni tu. Na kama aliyemtia jeuri amekwisha ondoka, nitashangaa sana kama ataendelea kusalia kwenye hicho cheo alicho nacho sasa.

Hatuwezi kuwa na hazina ya watu wajinga, waimba mapambio, wala rushwa, wanafiki, waonevu, wadhulumati, wazandiki, walevi, wazinzi, wauaji na waovu wa kila aina.
 
Huyu mbwa asiongee kabisa tena ni jambazi kwa kivuli cha serekali.....Rais piga chini huyu kwanza
 
Huyu mbwa asiongee kabisa tena ni jambazi kwa kivuli cha serekali.....Rais piga chini huyu kwanza
Majemadari wa vita wanavikwa nishani sio vinginevyo. Tulia dawa iwaingie nyinyi si mlikuwa mnalilia chanjo!

Ole Sebaya ndio dawa yenu
 
ni kweli mama ameanza kwakutoa yaliyokua sirini yani gizani
 
Huyu naye Siku zake zinahesabika! Ni suala LA muda tu.
 
Huyu Sabaya asitupigie kelele, Shenzi taipu!

Alipokuwa anavamia Biashara za watu na Mabunduki usiku Wa manane alikuwa hana matumaini?

Shwain kabisa.
 
Ukiumbwa kujipendekeza maisha yako ni lazima yawe kama Jehanam mbele ya watu wanaojitambua, utaishi kwa shida sana.
Sabaya anashindwa kusoma alama za nyakati kwamba aliyepo madarakani hivi sasa siyo mtu wa kupenda sifa za kijinga? Aliyepo madarakani kwa sasa anajua ni watu gani wakimpongeza hizo ni genuine na anajua wanafiki na wachumia tumbo na madaraka ni wakina nani na wapo tayari kusema na kufanya chochote kile ili tu wapate madaraka.
Nawashauri tu kwamba kwa style yenu ya uingozi hizi siyo nyakati zske, ni wakati sasa mjiweke kando wenyewe. Ninyomi hamna uwezo wa kuunganisha watu bali mnachoweza ni kuwagawa, kuwaumiza na kudharirisha, aina yenu hamstahili tena kuwa karibu na uongozi wa mama Samia.
Kaeni kando
 
Ole Sabaya ni hazina ya uongozi wa nchi hii. Huyu ndio kiboko ya manyani na waganga njaa hana chembe ya mzahanao.
Bado mnaendelea na hizi pumba? Aliyeingia haitaki masifa wala kiki. Fanyeni kazi halali mjipatie kipato, siyo blah blah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…