Ole Sabaya ukipona hii panguapangua, chinja kondoo

Achinje bata mwekundu.
 
Alikua anamuiga makonda
 
View attachment 1745295

Ila nadhani miongobi mwa vijana walioumia huyu anaweza kuongoza. Sijaona unafiki wa majonzi ktik kiliochake hiki.

Yampasa kujua ya kwamba haya yote ni maisha na huwa yanabadilika. Vyeo vipo na huwa vinapita.
Kilio chake hakikuwa cha kinafiki sababu hakuwa anaamini kilichotokea,kila akifikiria alivyowaumiza watu na nguzo yake ndio hio imeanguka ataacha kulia kweli?
 
Siyo kuchinja kondoo,atoe sadaka ya kuteketeza kwa Mola wake.
 
Wapumzike kwa amani Sabaya na Chalamila....tutaonana tawala nyingine tukijaaliwa
 
Kuna clip ya yule mfanyabiashara wa Moshi ile ndio hukumu ya SaaMbaya
 
Bora Sabaya, ila kuna punda mbili hizo ndo uozo kabisa,
Moja ipo mbeya nyingine Iringa.

Kweli imeandikwa usimtegemee mwanadamu
Umeona kesi za kughusi za sabaya kule hai...rejea kesi ya diwani aoiyoshinda juzi.
Kuvamia hotel ya mbowe na Magari yenye namba feki za UN..
 
Mtachonga sana lakini jamaa ataendelea kula kuku kwa mrija tu.
 
Bora Sabaya, ila kuna punda mbili hizo ndo uozo kabisa,
Moja ipo mbeya nyingine Iringa.

Kweli imeandikwa usimtegemee mwanadamu
Wote hao wataendelea na uRC wao sijui utakimbilia wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…