Ole Sabaya ukipona hii panguapangua, chinja kondoo

We jamaa kweli mtoto wa mjini! Yaani Mheshimiwa Rais kaongea asubuhi jioni unamfanyia preempt?

Kama ni kuondoka utaondoka. So get ready Sabaya ili lipate kutimia neno lisemalo, Kila mtu ataubeba msalaba wake mwenyewe.
Ndo ujue Rais wa Sasa anasikiliza wananchi
 
@Sir John Roberts utume wako umetimia, kweli masikini DC wa Hai Ole Sabaya hajasalimika
 
Duh ukiona mbali sana, ndio maana huenda alikimbilia Clouds
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…